Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
15 Nov

ALICHOKISEMA WAZIRI WA VIWANDA MHE CHARLES MWIJAGE, KUHUSU AJIRA KWA VIJANA KUPITIA VIWANDA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #HABARI

Leo Noveber 15, 2016 katika kipindi cha Power Breakfast, ameyazungumza mengi kuhusiana na Ongezeko la viwanda na kupelekea vijana kupata Ajira. Mhe Mwijage amesema kwasasa viwanda vimeongezeka sana na akitolea mfano wa Mashine za kuzalisha Tofari aina ya Brocks, lakini pia amesema "Viwanda vikubwa vipo vingi, tunaweza kuzalisha Saruji kwa kiasi cha juu sana 'Over capacity'"

STARZTZ

ALICHOKISEMA WAZIRI WA VIWANDA MHE CHARLES MWIJAGE, KUHUSU AJIRA KWA VIJANA KUPITIA VIWANDA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974