Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
12 Oct

KING KIBA AMTUPIA VIJEMBE DIAMOND, "DIAMOND MWOGA SANA"...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Kila kuicha nazikusanya zile habari zinazowahusu wasanii mbalimbali na sasa ni zamu ya hawa watani wa Jadi Diamond na Alikiba. Habari nilizonazo zinasema Alikiba amshangaa Diamond kumtuma Meneja wake kwenda kumzimia MIC Kenya, ahoji huo ni Usimba au ni Utumbili? adai atajuta alichokifanya.

STARZTZ

KING KIBA AMTUPIA VIJEMBE DIAMOND, "DIAMOND MWOGA SANA"...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974