Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
04 Apr

VIDEO: HARMORAPA AYAZUNGUMZA HAYA BAADA YA KURUSHIWA CHUPA AKIWA STAGENI.....

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Baada ya msanii Harmorapa kutupiwa chupa kwenye stage April 2 2017 na shabiki wakati akifanya show, leo April 3 2017 Ayo TV Entertaiment imemtafuta Harmorapa na Kupiga naye stori jinsi ilivyokuwa.

‘Jana kweli nilikuwa na show ambapo nilipigwa na chupa unajua ile chupa ilivyokuwa inakuja niliikwepa yaani baada ya pale mood yote iliisha ya kufanya show maana ndio show ilikuwa imeanza sijui kwanini watu wananirushia chupa au wanataka mimi nikawe kibaka mtaani maana mimi pale natafuta pesa‘>>>Harmorapa

Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974