Top posts
-
STAA JACKLINE WOLPER AFUNGUKUKA HAYA KUHOFIA PICHA ZAKE ZA UTUPU KUVUJA MTANDAONI...
Staa wa bongo movie Jackline Wolper yuko katika wakati mgumu kufuatia kuahidiwa na aliyemtaja kuwa mpenzi wake wa zamani akimtishia kuvujisha picha zake za utupu.
-
MSANII NUH MZIWANDA AKIWA KATIKA POZI JINGINE NA MPNZI WAKE MPYA...
Angalia alafu uache coment ili akipita aone una maoni gani juu ya hili.
-
OBAMA KUTOHUDHURIA MAZISHI YA MUHAMMAD ALI.
Rais wa Marekani Barrack Obama hatohudhuria mazishi ya marehemu Muhammad Ali siku ya Ijumaa,kulingana na Ikulu ya rais. Ali alifariki Ijumaa iliopita akiwa na umri wa miaka 74 katika hospitali moja huko Phoenix, Arizona. Viongozi duniani watakuwa miongoni...
-
HIZI NDIZO PICHA ZA MWONEKANO WA CHIDI BENZ ANAVYOENDELEA KWA SASA...
Kama tunavyoju kwamba Chid Benz anaendelea kufanyiwa matibabu baada ya kuacha kutumia madawa ya kulevya, huu ndio mwonekano wake kwa sasa.
-
MESSI NA RONALDO WAMEONEKANA KUWA WANASOKA PEKEE KATIKA TOP 10 YA WANAMICHEZO MATAJIRI DUNIANI...
Hii ni baada ya Forbes kutoa list ya wanamichezo 100 matajili Duniani kwa upande wa Top 10 wa mchezo soka ambao ndio unatazamiwa kuwa unaingiza hela nyingi Christian Ronaldo na Lionel Messi pekee ndio wamefanikiwa kuingia katika Top 10 hiyo.
-
NIDA YAANZA KUTOA VITAMBULISHO VYENYE SAINI...
Kaimu mkuu wa kitengo cha mawasiliano Serikalini kutoka mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA) Bi.Rose Mdami akiwaeleza waandishi wa habari jana jiji ni Dar es salaam kuhusu zoezila utoaji wa vitambulisho vipya vyenye saini ya mwenye kitambulisho. Kulia...
-
ROSE NDAUKA KUJA NA HII MPYA YA 'ANGELA' BAADA YA MIAKA MIWILI KUPITA...
Mwigizaji mahiri Rose Ndauka kutoka katika Tasnia ya Swahiliwood, baada ya kuacha kushiriki kazi za watayarishaji wengine sasa aja na hii kazi yake mpya inayoitwa 'Angel' ambayo ni kazi yake mwenyewe kwani alisema hawezi kushiriki tena kazi za wengin...
-
MR BLUE AFUNGUKA MAZITO JUU YA ALIYEKUWA MPENZI WAKE NA BARAKA DA PRINCE...
Mr Blue amekanusha tetesi zilizowahi kuwepo baina yake na Da Prince juu ya aliyekuwa mpenzi wake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Baraka Da Prince.
-
MMILIKI WA MAZEMBE AHUKUMIWA KIFUNGO JERA...
Mgongombea upinzani Nchini Jamhuri ya Kidemocrasia ya Congo Moise Katumbi amehukumiwa kifungo cha miaka 3 Jela na kupigwa faini ya dola milioni 6 kwa kosa la kununua nyumba kinyume cha sheria kwenye mji ulio mashariki mwa nchi wa Lubombasi.
-
VIDEO: BIYONCE AIMBA WIMBO MAARUMU KWAAJILI YA WATU 50 WALIOKUFA HUKO ORLANDO...
Ikiwa ni baada ya mtu mmoja kuingia ndani ya Klabu ya Mashoga hao na kuwamiminia risasi, na mtu huyo aliyejulikana kwa jina la Omar Mateen Nchini Marekani.
-
SUPPER STAA DIAMOND PLATNUMZ AWATAKA WATANZANIA KUMWUOMBEA ARUDI NA TUZO...
Wakati akisafiri kuelekea Marekani kwaajili ya kushiliki utoaji wa tuzo za BET, Msanii huyu wa kizazi kipya Nassibu Abdul "Diamond" amewaomba Watanzania waendelee kumuombea ili arudi na tuzo hizo zinazotolewa Juni 26.
-
MKE WA DIAMOND AZIDI KUSHIKA HEADLINES BAADA YA KUONEKANA AKIWA MJAMZITO TENA...
Ni katika picha mabalimbali zinazomuonyesha Mama Tiffah kuwa ni mjamzito tena..
-
WEMA ATAMANI KUKUTANA NA DIAMOND KUMALIZA TOFAUTI ZAO...
Ni muda sasa umepita baada ya Diamond kuachana na Wema Sepetu, nani aliyekuwa hajui mahusiano ya Wema na Diamond? kwakweli atakuwa hayupo. Lakini yalikuja kuzima kama mshumaa na Diamond kutengana na Wema, hali hiyo imemchosha mwanadada Wema Sepetu na...
-
YOUNG DEE AFUNGUKA LIVE JUU YA UTUMIAJI WA MADAWA YA KULEVYA...
Rapper kutoka Bongo fleva Young Dee amerudi kwenye uongozi wake wa zamani wa MDB Record ambao uko chini ya Maximilian Rioba. Miongoni mwa vitu alivyoviongea ni pamoja na kutumia madawa ya kulevya yapata mwaka mmoja na miezi minane sasa.
-
KAMANDA KOVA AAGWA RASMI LEO MOSHI...
Ni Jue 22, 2016 aliyekuwa Kamanda wa kanda maalumu ya Dar es salaam Suleiman Kova ameagwa leo rasmi katika viwanja vya Chuo cha mafunzo ya taaluma ya Uaskari Moshi (MPA) kilichojulikana kwa jina la CCP.
-
CHADEMA WATAFUTA NJIA MBADARA BAADA YA RAIS MAGUFULI KUTAKA SIASA ZIFANYWE 2020 (WAKATI WA UCHAGUZI UJAO)...
Chama cha Demockrasia na maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani kinatafakari ni atua gani ya kufuata baada ya Rais John Magufuli kutaka siasa za nguvu zifanyike wakati wa Uchaguzi mkuu ujao kauri inayotafsiriwa kuwa ni kupiga marufuku shughuli za Kisiasa....
-
YULE MUHARIFU MBABE WA MAGENGE AKAMATWA...
Mmoja wa Magenge makubwa zaidi ya uharifu Nchini Italia ambaye amekuwa akitafutwa kwa miaka 20 amekamatwa, alikamatwa katka eneo la Kusini la Carabria akiwa akikimbia hukumu ya maisha namashtaka ya mauaji.
-
LULU MAHAKAMA INAMUITA KWA MAKOSA YA MTANDAO...
Mwigizaji wa filamu za Bongo muvi Lulu Michael yupo mbioni kupambana na mkono wa sheria kwa makosa ya kutoa lugha za matusi kwa mwandishi wa Habari wa Global Publishers baada ya kumuuliza swali lililotaka ufafanuzi wake ikiwa ni siku chache tangu alipofanya...
-
SERIKALI KUTOA MASHARTI MAZITO KWA TAASISI ZA DINI JUU YA ULIPAJI KODI...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango ametoa ufafanuzi huo mjini Dodoma wakati akiongea na vyombo vya Habari ili kutoa ufafanuzi wa baadhi ya hoja zilizotolewa na wabunge wakati wa kujadili bajeti kuu ya Serikali iliyopitishwa juzi na Bunge.
-
WATU 36 WAPOTEZA MAISHA NA ZAIDI YA 136 KUJERUHIWA...
Hii imetokea katika shambulio la kigaidi katika uwanja wa Ndege wa Ataturk jijini Istanbul, Uturuki usiku huu.
-
WATU WATANO, NA 13 KUJERUHIWA JIJINI MWANZA...
Watu watano wafariki dunia na 13 kujeruhiwa baada ya Ajali ya Basi lenye namba za usajili T. 449 BCB mali ya Kampuni ya Supper Sami lililokuwa likitoka Dar es salaam kwenda Mwanza. Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo katika maeneo ya Bashini Kata...
-
"UTAWALA WANGU SITAKI KULIMBIKIZA WATU VYEO, MBUNGE HAWEZI KUWA RC AU DC" RAIS MAGUFULI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli ametangaza kuwa katika utawala wake hatateuwa Mbunge kuwa mku wa Mkoa au Wilaya. Amesema lengo ni kuboresha utendaji kazi na uwajibikaji kwamba "haiwezekani katika watanzania Mil. 50 tukose watu adi...
-
RAIS WA ARJENTINA AMUOMBA MESSI KUTENGUA MAAMUZI YA KUJIUZULU SOKA...
Zimepita siku chache Kiungo huyu wa Timu ya Argentina alitoa kauli ya kujiuzuru na Mpira baada ya katika mchezo huo kukosa Penart.
-
WABUNGE WATAKA CUF IFUTIWE USAJILI...
Mbunge wa viti maalum (CCM), Munira Mustafa Khatibu, ametaka Serikali kukifutia usajili chama cha Wananchi CUF kwa madai kuwa kimekuwa kikishiriki katika matukio ya kupigwa na kuharibu mali za Wananchi visiwani Pemba.
-
VIDEO: HARMONIZE NDANI YA PENZI ZITO NA JACKLINE WOLPER IKIWA...
Mwigizaji Jackline Wolper wa Bongo Movie yuko penzini na Mwimbaji Harmonize mwanamuziki wa Bongofleva anayetokea katika lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond Plutnumz, wapenzi hawa wawili hawakusita kuonyesha pendo lao adharani wakati wa Birthday party...