Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974

ABIRIA ANASWA NA SMG,PANGA, RISASI 21. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Police Mkoani Morogoro inamshikiria George (29) mkazi wa Shinyanga, kwa kukutwa na silaha za kivita aina ya SMG iliyofutwa namba zake za usajili, Magazine mbili, risasi 21 pamoja na panga vikiwa vimehifadhiwa ndani ya begi yake la nguo.

Read more

WALEMAVU KUPATA ELIMU SAWA NA WENGINE. HABARI KAMILI HAPA

Serikali imesema inafanya juhudi za makusudi kuhakikisha kuwa watoto wenye mahitaji maalum wanapata elimu sawa na wengine, ambapo mkazo wa sasa ni kuboresha mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji.

Read more

UJERUMANI YAKABIDHI NDEGE KUKABILI UJANGILI. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Serikali ya Ujerumani imetoa msaada wa Ndege maalumu aina ya "Husky A-1C Aircraft" kwa Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kusaidia katika Doria za kupambana na ujangili katika Pori la Akiba Selous.

Read more

RAIS MAGUFULI ATOA MCHANGO WA MILIONI 10KATIKA KANISA LA BIKIRA MARIA PAROKIA YA CHATO. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Rais ametoa mchango huo katika kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita kwa ajili ya kuchangia upanuzi wa kanisa hilo ambapo pesa hizo zimekabidhiwa na Kaimu Mnikulu Ngusa Samike katika Misa ya pili ya Ibada ya Jumapili ya pili ya Pasaka,...

Read more

ASLAY KALUKA HEWANI AKIELEZA SABABU YA KUTOKUWANA MWANAMKE ALIYEKUWA NA UJAUZITO WAKE. JIONEE MWENYEWE HAPA

Bada ya kuishi pamoja miezi isiyopungua sita tulizinguana aikabidi kila mtu achukue hamsini zake 'Sikuchukua uamuzi ila wote ndio tulichukua uamuzi... nilimuacha na ujauzito wang na tayari amejifungua mtoto wa kike ambaye ana kama mwezi mmoja na nusu,...

Read more

SHABIKI AANGUA KILIO BAADA YA KUMUONA DAVIDO. SOMA ILIVYOKUWA HAPA

Imetokeakwa Mwimbaji wa Davido wakati alipotua Congo Brazaville kwa ndege binafsi akakutana na shabiki anaeonekana kuwa muhudumu wa Hoteli amabaye aliangua kilio baada ya kumuona Davido, Baada ya Davido kuona hayo akaanza kumbembeleza.

Read more

HABARI ZA MAGAZETI LEO. SOMA HABARI KAMILI HAPA

"Wamekwisha " ni habari iliyo andikwa katika Gazeti la DIMBA. Na katika Gazeti la MTANZANIA limeandika "Waziri wa JK mikononi mwa Takukuru".Nanyngine kemkem

Read more

WABUNGE WAPOKEA MRADI WA ARDHI WA DOLA MILIONI 15. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Kamati ya Bunge ya kudumu ya Ardhi, Maliasili na utalii imepokea mchanganuo wa Mradi wa uwezeshaji, umiliki waardhi, utakao gharimu dola za Marekani milioni 15.2.

Read more

WAZAZI WATAKIWA KUWAFURAHIA WATOTO WAO WENYE ULEMAVU. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Wazazi wanaozaa watoto wenye ulemavu wa aina mbalimbali wametakiwa kuwapokea, kuwafurahia na kuwapa Malezi na mapenzi kama ilivyo kwa watoto wengine kwani huo ni mpango wa Mwenyezi Mungu.

Read more

RADI YAUWA WANAFUNZI. SMA HABARI KAMILI HAPA

Mwanafunzi wa kike anayesoma Darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Kakurungu, Kata ya Milambo, Itobo Wilayani Nzega, Asia Paulo amefariki Dunia baada ya kupigwa na Radi.

Read more
<< < 10 20 21 22 23 24 25 26 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974