Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

NA KATIKA MAGAZETI YA TANZANIA YAMETUANDIKIA HAYA LEO. SOMA HABALI KUU HAPA

"Ujumbe mzito wakutwa Kabulini kwa Kanumba!" ni Habari iliyoandikwa katika Gazeti la IJUMAA. "Makanisa ya Kilokole kudhibitiwa mitaani" ni habari iliyoandikwa katika Gazeti la UHURU. Na katika Gazeti la RAIA limeandika "Vita dhidi ya Ufisadi yaiva". "Mtoto...

Read more

MAJIPU YA MADAKTARI NA WAUGUZI YATUMBULIWA MISUNGWI. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga amemtaka Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Misungwi, kuwachukulia hatua kali ikiwemo kuwafukuza kazi Wauguzi na Madaktari, watakaokuwa wanaomba rushwa wananchi Jomboni kwake.

Read more

WANAOKWAMISHA WANA HABARI KUTIMULIWA KAZI. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Serikali imesema itawafukuza Kazi maofisa wa Serikali ambao wanaweka vikwazo na kuwakwamisha waandishi wa habari kushindwa kutekeleza majukumu yao kwa kushindwa kupata habari na taarifa mbalimbali kutoka Serikalini.

Read more

WIZARA YA ELIMU YAKANUSHA WALIMU KUVALISHWA SARE. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Wizara ya Elimu, Sayansi na Technologia ya ufundi imekanusha taarifa inayosambazwa katika Mitandao ya kijamii kuwa Waziri wake Profesa Joyce Ndalichako ametaka walimu kuandaliwa sare.

Read more

MGUFULI MGENI RASMI MEI MOSI. NIMEKUSOGEZEA HABARI KAMILI HAPA

Rais John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi kwenye maadhimisho ya sherehe ya siku ya wafanyakazi Duniani maarufu kama Mei Mosi ambayo kitaifa itafanyika Mkoani Dodoma.

Read more

WB YAIPATIA TANZANIA DOLA MIL 65. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Benki ya Dunia imepanga kuisaidia Tanzania katika jitihada za kuboresha utendaji wa idara ya Mahakama kwa lengo la kuchochea maendeleo ya kiuchumina kusogeza haki jirani zaidi ya Wananchi.

Read more

RAIS MAGUFULI AELEZA KWANINI HATAKI KWENDA NJE YA NCHI. SOMA HABARI HIYO HAPA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema haya "Nataka niwaeleze ndugu zangu, mimi sipendi sana kusafiri kwasababu ninapenda kubana matumizi, nimealikwa sehemu nyingi, nimealikwa Ulaya lakini na sehemu nyingine bado sijaenda, nilipoalikwa na Mhe....

Read more

CHADEMA IMEPATA MSIBA. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kwamba aliyekuwa Mbunge (Viti Maalum, Chadema), Christina Lissu afariki Dunia kwa ugonjwa wa Kansa. Mbunge huyo alikuwa amelazwa katika Hospitali ya AgaKhan, jijini Dar es salaam.

Read more

RAIS SHEIN AONGOZA KUMBUKIZI YA SHEHE AMAAN KARUME. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein ameongoza mamia ya wananchikatika kisomo cha Ibada ya Hitma ya kumuombea Dua Rais wa kwanza wa Zanzibar ,Hayati Abeid Amaan Karume aliyetimiza miaka 44 tangu alipouawa April 7,...

Read more

MAGAZETI YA tANZANIA YALICHOANDIKA LEO.INGIA USOME HABARI KAMILI

"Bajeti ya Magufuli 2016/2017 tril.30/-" ni habari iliyoandikwa katika Gazeti la TANZANIA DAIMA."Wabunge wajipanga kumtishia Magufuli" ni habari iliyoandikwa na RAI. "Mbowe: Magufuli ni mwenzetu kifikla" Hii ni habari iliyoandikwa katika Gazeti la JAMBO...

Read more
<< < 10 20 21 22 23 24 25 26 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974