Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974

08 Apr

RAIS MAGUFULI AELEZA KWANINI HATAKI KWENDA NJE YA NCHI. SOMA HABARI HIYO HAPA

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema haya "Nataka niwaeleze ndugu zangu, mimi sipendi sana kusafiri kwasababu ninapenda kubana matumizi, nimealikwa sehemu nyingi, nimealikwa Ulaya lakini na sehemu nyingine bado sijaenda, nilipoalikwa na Mhe. Kagame nimekuja na nataka niwaeleze ndugu zangu wa Rwanda hii ndiyo safari yangu ya kwanza kutoka Nje ya Tanzania"

STARZTZ

RAIS MAGUFULI AELEZA KWANINI HATAKI KWENDA NJE YA NCHI. SOMA HABARI HIYO HAPA
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974