Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974

NDANDA KOSOVO AFARIKI DUNIA. SOMA HABARIKAMILI HAPA

Mkali wa Muziki wa Dansi aliyefanya vizuri akiwa na bendi ya FM Academiana Stono Musica Ndanda Kosovo amefariki Dunia katika Hospitali ya Muhimbili alikokuwa amelazwa. Imeelezeka kwamba mwanamuziki huyo alikuwa anasumbuliwa na Vidonda vya Tumbo.

Read more

MAGAZETI YAMEANDIKA HAYA LEO APRIL 9, 2016. INGIA USOME MAGAZETI HAPA

Ndugu msomaji nimekusogezea post za magazeti hapa zenye habari mbalimbali ikiwemo inayosema "Kogogo wa Wema anaswa akiuza Mishkaki" habari hii ikiwa inaonekana katika Gazeti la RISASI.

Read more

KESI YA BOSSI WA ZAMANI WA TRA YASIKILIZWA TENA. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Kamishna wa zamani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Harry Kitilya akipunga mkono kwa Waandishi wa habari mala baada ya kusikilizwa kwa kesi inayowakabili yeye na wenzake wawili waliokuwa ni maafisa waandamizi wa Benk ya Stanibic Tanzania.

Read more

CCM YAMJIBU LOWASSA. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemjibu aliyekuwa Mgombea wa Urais Kupitia Chadema, Edward Lowassa, kuwa Rais John Magufuli hafanyi kazi kwa kutafuta umaarufu, bali kwa kutekeleza alichowaahidi Watanzania.

Read more

BOSI TRA SHOSE,SIOI WANYIMWA DHAMANA. NIMEKULETEA HABARI HII KAMILI HAPA

Mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu, Dar es salaam, imemnyima dhamana aliyekuwa Kamishna mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya na wenzake wanaokabiliwa na Mashitaka ya utakatishaji wa fedha.

Read more

RIDHIWANI AKANA KUFANYA BIASHARA NA LUGUMI. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Mbunge wa Chalinze, Ridhiwan Kikwete amekanusha taarifa zilizo sambaa kwenye mitandao ya kijamii na kwenye vyombo vya habari kuwa yeye ni mmoja wa wamiliki wa kampuni ya Lugumi, inayodaiwa kupewa Zabuni ya kufunga Mashine za kuchukua alama za Vidole kwenye...

Read more

MLEMA WA TLP AMUOMBA JPM KAZI. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour (TLP) taifa, Augustine Mlema amemuunga mkono Rais John Pombe Magufuli kwa kasi yake ya kupambana na Ufisadi na kumuomba ampe kazi ili amsaidie kutekeleza jukumu hilo.

Read more

KRC GENK YA SAMATHA YAZIDI KUFANYA VIZURI KATIKA MECHI ZAKE. CHEKI VIDEO YA GOLI LA SAMATHA HAPA

Headlines za Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania ambaye pia ni naodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta kufanya vizuri zinazidi kuongezeka kila kukicha ndani ya Ligi Kuu ubelgiji akiichezea Klabu ya KRC Genk. Jana Timu hiyo ya KRC Genk imeibuka na ushindi...

Read more

SKENDO YA WANAJESHI WA JWTZ CONGO YAZUNGUMZIWA NA MAKAO MAKUU. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) Chini ya Umoja wa Mataifa limekuwa likitekeleza majukumu ya ulinzi wa Amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa takribani miaka mitatu. Siku kadhaa zilizopita zililipotiwa taarifa za kulituhumu Jeshi...

Read more

MAJAMBAZI 63 WAKAMATWA NA SILAHA ZAO NDANI YA SIKU 7. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Leo April Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es salaam kupitia kwa Kamishna Simon Sirro, limetangaza kuwakamata Majambazi 63 wa matukio ya unyang'anyi wa kutumia Silaha katika Oparesheni iliyofanyika ndani ya wiki moja.

Read more
<< < 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974