Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974

WAKURUGENZI WA HALMASHAURI NCHINI KITANZINI. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa amesema Mkurugenzi yeyote wa Halmashauri Nchini atakayeshindwa kutenga asilimia 10 ya Mapato kwaajili ya Wanawake na Vijana ataondolewa.

Read more

MECHI YA YANGA NA AL AHYL YAMALIZIKA KWA BAO 1-1.SOMA HABARI KAMILI HAPA

Game ya Yanga Vs Al Ahyl ilimalizika timu zote mbili kwa kutoka sare ya bao 1-1 ambapo gori la kwanza liliingia dakika ya 9 Al Ahyl walilipata kupitia kwa Gamal na dakika ya 19 goli la kujifunga Yanga wakalipata kupitia kwa Hegazy.

Read more

WANAOMILIKI MIGODI WATAKIWA KUACHA KAZI. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amewataka maofisa Madini wa Kanda, Mikoa na Wilaya wanaomiliki Vitalu vya Madini au Migodi waache kazii Serikalini.

Read more

HOSPITALI ZAAGIZWA KUTOFUTA MAPATO

Hospitali zinazotumia mfumo wa ukusanyaji mapato wa kielektroniki zimetakiwa kutobweteka na mapato yanayokusanywa kila siku, na badala yake ziwe makini katika Matumizi.

Read more

SAMIA SULUHU AZINDUA UJENZI WA NYUMBA.SOMA HABARI KAMILI HAPA

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ameyataka Makampuni yanayowekeza Nchini kufuata misingi ya Kisheria ya uwekezaji ili kusiwe na Changamoto katika kipindi chote cha kutekeleza miladi hadi kukamilika.

Read more

IDRIS SULTAN ASEMA HAYA KUHUSU VIDEO YA WEMA ILIYOSAMBAA.SOMA HABARI HIYO HAPA

"Siwezi kusema tumeachana na Wema lakini ukweli ni kwamba hatuna maelewano, sio kwamba najalibu kusema Wema ni mbaya ....ni mtu poa na ile video hakujua kama inapostiwa kwenye mitandao, tatizo lilikuwa ni pale nilipompigia ingetakiwa tufikie kwenye maelewano...

Read more

HII NI VIDEO YA WEMA AKIKISI NA MWANAUME MWINGINE. ICHEKI HAPA

Katika habari zilizozagaa katika mitandao ya kijamii ni pamoja na hii ya Wema kukisi na mwanaume mwingine na kuzua sintofahmu kwa watu wangu wa nguvu icheki hapa.

Read more

ROMA MKATOLIKI AFUNGA NDOA LEO KWAO TANGA. SOMA HABARI NZIMA HAPA

Roma Mkatoliki ni msanii maarufu wa hihop Tanzania ambaye kwenye upande wa pili wa maisha ameamua kufunga ndoa na mpenzi wake wa longtime ambaye wana watoto. Ndoa imefungwa nyumbani Tanga baada ya Send-Off kufanyika Dar es salaam February 2016.

Read more
<< < 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974