MAGAZETI YA tANZANIA YALICHOANDIKA LEO.INGIA USOME HABARI KAMILI
"Bajeti ya Magufuli 2016/2017 tril.30/-" ni habari iliyoandikwa katika Gazeti la TANZANIA DAIMA."Wabunge wajipanga kumtishia Magufuli" ni habari iliyoandikwa na RAI. "Mbowe: Magufuli ni mwenzetu kifikla" Hii ni habari iliyoandikwa katika Gazeti la JAMBO LEO."Ufisadi hadi Ikulu" Ni habari imayoonekana katika Gazeti la MSETO. "Wolper: sijawahi kumtongoza Diamond" hii ni habari iliyoandikwa katika Gazeti la WEMBE. Na katika Michezo Gazeti la MWANA SPORT limeandika "Simba wajanja kweli wainasa Yanga kilaini"