Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
03 Apr

ASLAY KALUKA HEWANI AKIELEZA SABABU YA KUTOKUWANA MWANAMKE ALIYEKUWA NA UJAUZITO WAKE. JIONEE MWENYEWE HAPA

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Bada ya kuishi pamoja miezi isiyopungua sita tulizinguana aikabidi kila mtu achukue hamsini zake 'Sikuchukua uamuzi ila wote ndio tulichukua uamuzi... nilimuacha na ujauzito wang na tayari amejifungua mtoto wa kike ambaye ana kama mwezi mmoja na nusu, mwanangu nimemuita Moza jina la marehemu mama yangu, na bado mpaka sasa tunaonana ata sasa hivi nimetoka kumuona mwanangu, hatujarudiana.... tunasaidiana tu kama mtu na mzazi mwenzake' Aslay

STARZTZ

ASLAY KALUKA HEWANI AKIELEZA SABABU YA KUTOKUWANA MWANAMKE ALIYEKUWA NA UJAUZITO WAKE. JIONEE MWENYEWE HAPA
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974