Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974

04 Apr

HUYU NDIYE KOCHA MPYA WA CHELSEA. INGIA HAPA USOME HABARI KAMILI

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO NA BURUDANI

Baada ya Klabu ya Chelsea ya Uingereza kumfukuza aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Jose Mourinho miezi kadhaa iliyopita na nafasi yake kuchukuliwa na kocha wa muda Guus Hiddink, April 4 uongozi wa Chelsea umetangaza Kocha wa kudumu atakayejiunga na Klabu hiyo mwishoni mwa mwa msimu.Chelsea imemtangaza Antonio Conte kuwa kocha mpa wa klabu hiyo ambaye atajiunga na timu hyo baada ya michuano ya Euro 2016 kumalizika akiwa anaiongoza timu ya taifa ya Italia katika michuano hiyo..

STARZTZ

HUYU NDIYE KOCHA MPYA WA CHELSEA. INGIA HAPA USOME HABARI KAMILI
HUYU NDIYE KOCHA MPYA WA CHELSEA. INGIA HAPA USOME HABARI KAMILI
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974