Top posts
-
SIKU YA MAKUMBUSHO DUNIANI YAFANYIKA ZANZIBAR...
Waziri wa habari, Utalii, Utamaduni na Michezo Rashidi Ali Juma akizungumza na wafanyakazi na wananchi walioshiriki maonyesho ya sanaa katika maadhimisho ya siku ya Makumbusho Duniani yaliyofanyika Makumbusho ya Mnazi mmoja Zanzibar..
-
GERRY TAGGART AMZUNGUMZIA VARDY
Vardy Mlinzi wa Zamani wa Leicester City Gerry Taggart amesema kuondoka kwa Jamie Vardy kwenda Arsenal kunaweza kuwa janga kwa Leicester. Vardy ambaye jana alitegemewa kutoa tamko lake la kuhamia kwa washika Bunduki mpaka sasa hajasema chochote na ameambatana...
-
WALIMU WALIO MPIGA MWANAFUNZI MBEYA WAIBUA MAZITO...
Kama unakumbuka mtu wangu kwamba siku mbili zimepita toka tumepata taarifa za mwanafunzi kutoka Mbeya aliyepata kipigo kutoka kwa walimu wa field, sasa leo yameendelea kuibuka mazito juu ya swala hilo. Habari zikiw azinasema kwamba wakamatwa, Mkuu wa...
-
MAAFA MENGINE YAZUKA KAGERA, HOFU YAZIDI KUTANDA...
Katika habari nilizonazo hapa Studio ni pamoja na hizi habari kutoka Mkoani Kagera zinazosema, zimetolewa taarifa zinazosema Mama na watoto wanne wanasadikika kufa kufuatia kula chakula chenye sumu.
-
VIDEO: HILI NI GOLI LA MECHI YA SIMBA vs MBAO FC OCTOBER 20, 2016 SIMBA WAIBUKA NA USHINDI...
Ikiwa hii ni habari kutoka katika upande wa Michezo na hii ilikuwa ni mechi dhidi ya Simba na wapinzani wao Mbao FC. Mchezo huu uliisha Simba wakiwa na ushindi wa Bao 1-0 dhidi ya wapinzani wao
-
WATU HOI!! MAMA NA MTOTO WAZIKUNJA, NI WEMA SEPETU NA MAMA AKE WAPEANA KIPIGO...
Wema Sepetu Mungu anakuona, Mtu wangu ni wajibu wangu nihakikishe kila siku nakusogezea zile habari muhimu kabisa kutoka katika pande zote za Dunia, Sasa hii ni kutoka kwa Staa Wema Sepenga anayesadikika kuuchapa mkono na mama ake mzazi, kisa chajulikana...
-
WILAYANI BIHARAMULO, WATU WALIA NJAA KWASABABU YA UPATIKANAJI DUNI WA CHAKULA, WADAI JUA NDO CHANZO...
Ndugu msomaji wa Makala zangu leo nikiwa katika Wilaya ya Biharamulo Mkoani Kagera nimekutana na wakazi mbali mbali katika maeneo mbalimbali ya Wilaya hii na kusikiliza kero zao kuhusiana na suala zima la uoatikanaji wa chakula. Nikiwa katika kijiji cha...
-
VIDEO YA WABUNGE 7 WALIO TOLEWA NJE YA BUNGE KENYA.INGIA HAPA UICHEKI
March 31 miongoni mwa habari kubwa za siku Nchini Kenya ni Wabunge wa Upinzani kutolewa nje baada ya Kupiga Filimbi wakati Rais Uhuru Kenyata akihutubia Bunge la Nchi hyo ambapo KTN alisema filimbi hizo zilisababisha Hotuba ya Rais kuchelewa kusomwa kwa...
-
RAIS JOHN MAGUFULI AKIWA KATIKA ZIARA YAKE NCHINI RWANDA. INGIA UONE PICHA 3 NA HABARI KAMILI HAPA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amewashika mkono Mwakilishi mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AFDB Bi Tonia Kandiero, pamoja na Balozi wa Japan Masaharu Yoshida pamoja na Rais wa Rwanda Paul Kagame wakipita kwenye...
-
DK. MAGUFULI KUZINDUA MRADI WAKE LEO WA BARABARA ZA JUU. SOMA HABARI KAMILI HAPA
April 16 Rais John Pombe Magufuli amefanya uzinduzi wa mradi wa barabara ya juu (Flyover) Dar es salaam, barabara inayotarajiwa kuanza kufanya kazi mwaka 2018, lengo likiwa ni kupunguza kero za usafiri katika jiji la Dar es salaam , Barabara inayotengenezwa...
-
MABASI YA MWENDO KASI YAFANYIWA MAJARIBIO.
April 18, 2016 Mabsi ya Abiria yaendayo haraka yalifanyiwa majaribio ikilipotiwa ni kujiandaa na kuanza Kazi rasami ya kubeba abiria na kushusha kwenye vituo mbalimbali vya barabara zake maalum zilizo kamilika.
-
MAKATIBU WAKUU WAAPISHWA ZANZIBAR.HABARI KAMILI HAPA
Rais wa Zanzibar na Mwinyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein amewaapisha Makatibu wakuu katika Hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar.
-
JICHO LENYE UWEZO WA KUONA GIZANI LAVUMBULIWA.
WASHINGTON: Wanasayansi nchini Marekani wamevumbua jicho la kitaalam lenye uwezo wa kuona hata kama ni gizani (sehemu ambayo hakuna mwanga). Wamefanikiwa hilo baada ya kuunganisha vipande vya jicho la samaki aina ya kambamti, jicho ambalo litaweza kutumika...
-
MADHARA YATOKANAYO NA MATUMIZI YA VIPODOZI VYENYE VIAMBATO VYENYE SUMU
Kwa miaka mingi sasa, baadhi ya watu wamegubikwa na dhana potofu ya kwamba, kuwa mweupe ndiyo urembo. Dhana hii imewafanya wengi waanze kutumia vipodozi vikali, bila kujali madhara ya baadaye. Kwa mfano, hata baadhi ya wasanii, wake kwa waume, wamekuwa...
-
YANGA YAICHAPA MGAMBO SHOOTING BAO 2-1
Yanga yaibuka kidedea baada ya kuichapa Mgambo Shooting bao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu TAnzania Bara.
-
SNURA AKANUSHA KUFUNGIWA YEYE NA WIMBO WAKE...
Akiongea na PLanet Bongo ya East Africa Radio, Snura amesema katika Barua ambayo alipewa imeelekeza wazi kuwa Video ya Wimbo wake huo 'Chura' ndiyo imesitishwa kwa muda mpaka atakapofanya video nyingine yenye maadili na kusema watu wanaosema kuwa yey...
-
KIJANA ALIYEUGUA UGONJWA WA KUZEEKA AFARIKI.
Kijana mmoja wa mjini Mumbai ambaye amekuwa akiugua ugonjwa usio kawaida wa jeni ambao huufanya mwili kuzeeka mara nane zaidi ya ilivyo kawaida amefariki. Nihal Bitla mwenye umri wa miaka 15 alikuwa mwanaharakati wa India anayefanya kampeni dhidi ya ugonjwa...
-
WATU WANNE WAMEOKOLEWA KWENYE VIFUSI NAIROBI.
Watu wawili wametolewa wakiwa hai kutoka kwenye vifusi siku sita baada ya jumba kuporomoka katika mtaa wa Huruma, Nairobi. Watu wawili, mwanamke na mwanamume, wameokolewa saa chache baada ya mwanamke kutolewa kwenye vifusi na kupelekwa hospitalini. Juhudi...
-
ANG'ATWA UUME NA NYOKA THAILAND.
Raia mmoja wa Thailand anaendelea kuuuguza jeraha katika hospitali moja baada ya nyoka aina ya chatu kutokea ndani ya choo na kumng'ata uume wake. Attaporn Boonmakchuay,ambaye alipoteza damu nyingi amesema kuwa nyoka hiyo ilikuwa ikimvuta baada ya yeye...
-
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA JIJI LA MADRID BAADA YA USHINDI WA REAL MADRID YA HISPANIA...
Kama uliikosa hii ya usiku wa kuamkia May 28 baada ya ushindi wa Real Madrid dhidi ya Atletico Madrid katika Mchezo wa Fainali uliochezwa katika jiji la Milan, Italia uwanja wa San Siro. Real Madrid waliweka rekodi ya kutwaa kombe hilo kwa mala ya 11,...
-
STAA RIHANNA AJA NA HAYA MAAMUZI MAPYA...
Staa Rihanna aamua kuja na mwonekano mpya ikiwa na maana kwamba ameaumua kuvaa nguo za heshima.
-
STAA TYGER AKIMWE ADHARANI MPENNZI WAKE MPYA..
Zicheki alafu acha comment hapo ili akipita aone unamaoni gani juu yake.
-
ITALIA WAKUBARI KUTOLEWA NJE LICHA YA KUWA NA REKODI IMALA...
Robo fainali ya tatu ya Michuano ya Mataifa ya Ulaya 2016 imechezwa usiku wa Julai 2, 2016 kwa kuzikutanisha timu za taifa za Ujerumani dhidi ya timu ya taifa ya Italia, huu ni mchezo ambao mashabiki wa soka kwa kiasi kikubwa walikuwa wanautabiri ndio...
-
YANGA YAKUBALI SARE DHIDI YA MEDEAMA KATIKA MCHEZO WAO LEO...
Ni July 16, 2016 ambapo wawakilishi kutoka Tanzania katika mashindano ya klabu ya Dar es salaam Young Africans kucheza mchezo wao wa tatu wa kundi A wa Kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya klabu ya Medeama SC ya Ghana. Mchezo huu uliisha timu ya...
-
HIZI HAPA HABARI MOTO MOTO KUHUSU MASOGANGE WA KENYA......
Chekizia warembo hao na huyu ndie mrembo anayesemekana kuwa ndiye Masogange wa Kenye. Tupia comment hapo mtu wangu ili akipita ajue maoni yako kwa hizi picha zake.