Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
16 Jul

YANGA YAKUBALI SARE DHIDI YA MEDEAMA KATIKA MCHEZO WAO LEO...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO

Ni July 16, 2016 ambapo wawakilishi kutoka Tanzania katika mashindano ya klabu ya Dar es salaam Young Africans kucheza mchezo wao wa tatu wa kundi A wa Kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya klabu ya Medeama SC ya Ghana. Mchezo huu uliisha timu ya Yanga wakilazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya wapinzani wao.

STARZTZ

YANGA YAKUBALI SARE DHIDI YA MEDEAMA KATIKA MCHEZO WAO LEO...
YANGA YAKUBALI SARE DHIDI YA MEDEAMA KATIKA MCHEZO WAO LEO...
YANGA YAKUBALI SARE DHIDI YA MEDEAMA KATIKA MCHEZO WAO LEO...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974