WALIMU WALIO MPIGA MWANAFUNZI MBEYA WAIBUA MAZITO...
Kama unakumbuka mtu wangu kwamba siku mbili zimepita toka tumepata taarifa za mwanafunzi kutoka Mbeya aliyepata kipigo kutoka kwa walimu wa field, sasa leo yameendelea kuibuka mazito juu ya swala hilo. Habari zikiw azinasema kwamba wakamatwa, Mkuu wa Wilaya , Haki Elimu, Bodi ya mikopo watoa tamko huku kamati ya ulinzi na Usalama ikiendelea kufichua mapya dhidi ya mwanafunzi aliyepata kipigo huku ikidaiwa kwamba walimu wakike wakigoma.