Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
30 May

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA JIJI LA MADRID BAADA YA USHINDI WA REAL MADRID YA HISPANIA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO

Kama uliikosa hii ya usiku wa kuamkia May 28 baada ya ushindi wa Real Madrid dhidi ya Atletico Madrid katika Mchezo wa Fainali uliochezwa katika jiji la Milan, Italia uwanja wa San Siro. Real Madrid waliweka rekodi ya kutwaa kombe hilo kwa mala ya 11, ambapo Atletico wakishindwa kulitwaa kwa mala ya kwanza.

STARZTZ

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA JIJI LA MADRID BAADA YA USHINDI WA REAL MADRID YA HISPANIA...
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA JIJI LA MADRID BAADA YA USHINDI WA REAL MADRID YA HISPANIA...
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA JIJI LA MADRID BAADA YA USHINDI WA REAL MADRID YA HISPANIA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974