Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974

28 Mar

RAIS MAGUFULI AWASIHI WATANZANIA KUWA WAMOJA. SOMAHABARI KAMILI HAPA

Published by elipidius geofrey

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amewasihi watanza nia kuendelea kuwa wamoja na kushirikiana kuijega Nchi yao, badala ya kubaguana. Rais Magufuli ametoa wito huo jana Katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Azania Front jijini Dar es salaam, ambako alisali ibada ya Pasaka pamoja na Waumini wa Kanisa hilo.

STARZTZ

HABARI

HABARI

Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974