Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974

26 Mar

AJALI NYINGINE KIMALA BARUTI.PATA HABARI KAMILI HAPA

Published by elipidius geofrey

Ikiwa zimepita wiki mbili baada ya kutokea kwa ajali Kimala Dar es salaam. usiku wa March 25 kumetokea ajaali nyingine katika eneo la Kimala Baruti ambapo Basi la Princes Muro lenye usajli wa T551 BQP. Limavaa kituo cha mabasi ya mwendo kasi. Basi hilo limetokea Arusha kuja Dar es salaam halikuuwa Abilia wala hakuna aliye jeruhiwa.

STARZTZ

MATUKIO

MATUKIO

Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974