Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

michezo na burudani

KRC GENK YA SAMATHA YAZIDI KUFANYA VIZURI KATIKA MECHI ZAKE. CHEKI VIDEO YA GOLI LA SAMATHA HAPA

Headlines za Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania ambaye pia ni naodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta kufanya vizuri zinazidi kuongezeka kila kukicha ndani ya Ligi Kuu ubelgiji akiichezea Klabu ya KRC Genk. Jana Timu hiyo ya KRC Genk imeibuka na ushindi...

Read more

FURAHA YA RONALDO YAISHIA UKINGONI. INGIA UJISOMEE HAPA

Real Madrid ambao weekend iliyopita walikuwa na furaha ya kuifunga FC Barcelona 2-1 katika uwanja wa Nou Camp, wamekubali kipigo cha goli 2-0 kutoka kwa Wolfsburg, Real Madrid walianza kufungwa dakika ya 18 na Ricardo Rodriguez kwa Mkwaju wa Penati na...

Read more

INGIA HAPA UANALIE NYIMBO KALI MPYA YA WINNIE NWAGI KUTOKA UGANDA YENYE MANENO YA KISWAHILI. INGIA HAPA UJIONEE

Hapo Uganda kuna waimbaji wakali kama Aziz Azion ambao walifanikiwa kuvuka Boda vizuri na kuwafikia Watanzania wengi kwasababu walichanganya Kiswahili kidogo kwenye Nyimbo zao.Wnnie Nwagi ni msanii pia alokuja na ngoma yake mpya inayoenda kwa jina la...

Read more

TIMU YA SERENGETI BOYS YA TANZANIA YALETA FARAJA. SOMA HABARI KAMILI HAPA

Timu ya Taifa ya Tanzania kwa Vijana wenye umri chini ya miaka 17 maarufu kama Serengeti Boys April 5, 2016 ililleta faraja kwa Watanzania baada ya kuendeleza umahili wake wa kuifunga Timu ya Taifa ya Vijana ya Misri The Pharaohs mala mbili mfululizo...

Read more

HUYU NDIYE KOCHA MPYA WA CHELSEA. INGIA HAPA USOME HABARI KAMILI

Baada ya Klabu ya Chelsea ya Uingereza kumfukuza aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Jose Mourinho miezi kadhaa iliyopita na nafasi yake kuchukuliwa na kocha wa muda Guus Hiddink, April 4 uongozi wa Chelsea umetangaza Kocha wa kudumu atakayejiunga na Klabu...

Read more

RONALDO ASHEREKEA USHINDI DHIDI YA FC BARCELONA AKIWA NA NGUO YA NDANI. SOMA HABARI HIYO HAPA

Baada ya uwepo wa tambo za mashabiki wa soka wa upande wa Real Madrid na FC Barcelona kwa zaidi ya wiki moja kuhusu mchezo wa marudiano wa EL Clasico,Uiku wa April 2 ilikuwa ni zamu ya kupata majibu ya tambo za mashabiki wa pande zote mbili Mchezo ambao...

Read more

MOVIE MPYA YA TAJIRI MFUPI ALIYEMZIA MREMBO BATULI. INGIA HAPA UJIONEE

Ndani kaigiza Ray 'Vicent Kigosi' Batuli na wengine akiwemo Tajiri Mfupi mwenyewe ambaye anakabidhiwa kampuni kubwa yenye pesa na wakati huohuo anavutiwa na Mrembo Batuli muuza vitenge majumbani kwa watu kwa kutembeza...

Read more

WALE WA RIHANNA NIMEKULETEA KIONJO CHA VIDEO YAKE MPYA HAPA INGIA UJIONEE

Mwimbaji Staa wa Dunia Rihanna 'RiRi' amerudi kwenye Macho ya Dunia baada ya kudhibitisha kwamba single yake Mpya ijayo inaitwa 'Kiss It Better' na ameachia kipisi cha video hiki hapa..

Read more

RECHO KIZUNGUZUNGU AMLUDIA MUNGU. ANA HAA YA KUTWAMBIA SOMA HAPA

Mwimbaji Recho katika Amplifaya amesema "Ni kweli nimemrudia Mungu, ni maamuzi ambayo nimeyafanya mwenyewe baada ya kuona vitu ni vilevile, Dunia ni ileile na watu ni walewale ndomaana nikaona sio vibaya nikaja na upande mwingine, lakini hii haimaanishi...

Read more
<< < 10 20 21 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974