Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
07 Apr

FURAHA YA RONALDO YAISHIA UKINGONI. INGIA UJISOMEE HAPA

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO NA BURUDANI

Real Madrid ambao weekend iliyopita walikuwa na furaha ya kuifunga FC Barcelona 2-1 katika uwanja wa Nou Camp, wamekubali kipigo cha goli 2-0 kutoka kwa Wolfsburg, Real Madrid walianza kufungwa dakika ya 18 na Ricardo Rodriguez kwa Mkwaju wa Penati na baadae Maximilian Anold kawafunga dakika ya 25.

STARZTZ

FURAHA YA RONALDO YAISHIA UKINGONI. INGIA UJISOMEE HAPA
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974