Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
21 Aug

MKE WA MASANJA MKANDAMIZAJI ALETA KIZAZAA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Huyu ni mke wa mwigizaji wa Original Comedy, ikiwa ni baada ya kufunga Ndoa na mumewe Masanja Mkandamizaji. Wawili hao wameonekana kwenye picha mbalimbali huku mavazi yao yakiwaacha watu wengi wakiwa na maswali yaliyokosa majibu kutokana na picha anazovaa mke wake, wakidai Mke wa Baba Mchungaji havai hivoo!!!!, imeonekana kwenye mitandao ya kijamii wengine wakisema kwamba "Ni Mchungaji wa mwendokasi.." na mengine kama hayo.

STARZTZ

MKE WA MASANJA MKANDAMIZAJI ALETA KIZAZAA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974