Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
21 Aug

MFANYA BIASHARA MMOJA MOSHI AJIPIKA KWA PETROLI...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Ni mkazi wa Moshi anayejulikana kwa jina la Romani shirima mwenye umri wa miaka (74), kwa mijibu wa taarifa kutoka kwa mashahidi zinasema kwamba mfanya bihashara huyo alijifunika Blanketi, na kisha kujimwagia Petroli na kutumi kiberiti kuwasha moto ambao ulilipuka na kumsababishia Umauti. Kwa mujibu wa taarifa pia inaelezeka kuwa chazo ni msongo wa mawazo na madeni.

STARZTZ

MFANYA BIASHARA MMOJA MOSHI AJIPIKA KWA PETROLI...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974