Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
28 Jul

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ATENGUA UTEUZI MWINGINE LEO JULY 28, 2016...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #HABARI

Rais wa Jamhuli ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa bodi ya mfuko wa Barabara (Road Fund Board) Dkt. James Munanka Wanyancha.Rais ametengua uteuzi huo leo July 28, 2016 na kufanya uteuzi wa mpya kumteua Odo Haule kuwa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Mfuko wa Barabara.

STARZTZ

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ATENGUA UTEUZI MWINGINE LEO JULY 28, 2016...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974