Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
14 Jul

MHUDUMU AMCHUKULIA POA JAMBAZI NA JAMBAZI KUONAHIVYO AKAAMUA KUCHANJA MBUGA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Ni katika New Zealand baada ya jambazi mwenye bunduki kuvamia Restaurant moja akitaka apewe pesa lakini muuzaji akachukulia poa ata hakushughurika nae kitendo kilichomshangaza jambazi na kuamua kuamsha na mia.

STARZTZ

MHUDUMU AMCHUKULIA POA JAMBAZI NA JAMBAZI KUONAHIVYO AKAAMUA KUCHANJA MBUGA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974