Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
14 Jul

RC PAUL MAKONDA AANDIKA UJUMBE HUU KWENYE UKURASA WAKE WA INSTAGRAM...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #HABARI

Ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram amelazimika kuandika kwenye ukurasa wake sentensi kadhaa ikiwemo na hii ya inayohusu maeneo yasiyo salama. Amesema "Unapofanya biashara katika maeneo machafu kama haya unataka tukutambue kama barozi wa Kipindupindu na chanzo cha vifo vya ndugu zetu au umejitoa ufahamu kwakujifanya mstaarabu wakati siyo." Paul Makonda

STARZTZ

RC PAUL MAKONDA AANDIKA UJUMBE HUU KWENYE UKURASA WAKE WA INSTAGRAM...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974