HATIMAYE HAMISA MOBETTO AMTULIZA ZARI THE BOSS LADY...
Hamisa Mobetto yupo kwenye kitimoto, mashabiki wa 'first couple' kama wanavyo jiiita wenyewe Zari na Diamond wamechukizwa na tetesi zinazoendelea kuvuma kuwa mrembo huyo ana uhusiano na muimbaji wa 'kidogo'. Kwa wale waliohudhuria birthday ya mama Diamond siku chache zilizopita, walidai kuwa palitaka kutokea timbwili baada ya Hamisa nayeye kuwepo pale kwenye sherehe hiyo iliyohudhuriwa pia na mama Tiffah. Wanadai Zari hakupenda.