Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
15 Jul

HIZIZ HAPA SABABU ZA SHAA KUJIONDOA KWENYE UONGOZI WAKE WA ZAMANI...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO NA BURUDANI

Ikiwa ni July 15, 2016 ambapo Malkia wa Uswazi Sara Kaisi aka Shaa amefunguka akielezea sababu za yeye kuondoka kwenye uongozi wake wa zamani.
Shaa amesema "Nimekuwa na ndoto ya mda mrefu kama ya miaka mitano iliyopita tumeona wasanii ambao niliokuwa nao Mj Records wakina Izzo Bizness amesimama mwenyewe ukja kwa Quick Rocka nae kafungua Studio kwahiyo ni muda wangu sasa"Shaa

STARZTZ

HIZIZ HAPA SABABU ZA SHAA KUJIONDOA KWENYE UONGOZI WAKE WA ZAMANI...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974