Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
18 Jun

BONDIA FLOYD MAYWEATHER AKIWA KATIKA NDEGE YAKE MPYA YA DHAHABU...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO NA BURUDANI

Bondia maarufu Duniani Floyd Mayweather ameingia kwenye headlines tena baada ya kununua Ndege nyingine ya Dhaabu ya kutembelea, hii ni Ndege yake ya pili kwani amedai ile ya kwanza haikidhi mahitaji yake 'hainitoshi'

STARZTZ

BONDIA FLOYD MAYWEATHER AKIWA KATIKA NDEGE YAKE MPYA YA DHAHABU...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974