Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
27 Aug

VIDEO: Hizi ni dakika 2 zikionyesha Hat-Trick ya Okwi iliyookoa Milioni 5, Ikiwa ni mechi ya Simba ft Ruvu shooting...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO NA BURUDANI

Ilikuwa nhi august 26, 2017 Simba yavunja record ya kufunga Magori mengi iliyokuwa ni mechi dhidi ya Ruvu Shooting. Mchezo wa ufunguzi wa Simba dhidi ya Ruvu Shooting umekuwa mchezo wa kwanza wenye magoli mengi, baada ya Simba kufanikiwa kupata ushindi wa magoli 7-0 Emanuel Okwi akifunga hat-trick.

Okwi amefunga jumla ya magoli manne dakika ya 18, 22, 35 na 52, ushindi huo sasa unatimiza ahadi ya afisa habari wao Haji Manara kwa afisa habari wa Ruvu Shooting Masau Bwire kwani aliahidi wataifunga zaidi ya magoli matano Ruvu na kama isingetokea angempa milioni tano.

STARZTZ

VIDEO: Hizi ni dakika 2 zikionyesha Hat-Trick ya Okwi iliyookoa Milioni 5, Ikiwa ni mechi ya Simba ft Ruvu shooting...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974