Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
03 Nov

DOGO JANJA NDANI YA MAHABA MAZITO NA AGNESS MASOGANGE, IMETAFSILIWA....

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

November 2, 2016 katika Kipindi cha XXL cha Clouds FM Soudy Brown amemvutia waya staa wa single ya Kidebe, Dogo Janja ambaye inadaiwa yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na staa mwingine wa kike Agness Masogange

Dogo Janja amesema kuwa picha inayoonekana kwenye mitandao watu wameitafsiri tofauti tu wao walikua sehemu moja ila mpiga picha alipigia sehemu ambayo iliwaonyesha kama wako chumbani huku Dogo Janja akiangalia sehemu za nyuma za Agness.

“Masogange ni mshikaji wangu sana ni mtu wangu wa karibu watu wamezoea kuniona na marafiki wa kiume tu ni rafiki yangu na niko kwenye maongezi naye kuhusu kushoot video’ – Dogo Janja

‘Unajua baada ya Kidebe nafikiria jinsi ya kurudi tena na wimbo wangu mpya, ukitoa mambo ya kikazi yule ni mshikaji wangu, Agness pale alikua amekaa tu sio kwamba alikua ananionesha makalio ila nisipomtamani yule nitakua na matatizo” – Dogo Janja

DOGO JANJA NDANI YA MAHABA MAZITO NA AGNESS MASOGANGE, IMETAFSILIWA....
DOGO JANJA NDANI YA MAHABA MAZITO NA AGNESS MASOGANGE, IMETAFSILIWA....
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974