RAY C FULL KICHEKO AFUNGUKA MAZITO BAADA YA KUANZA...
Mwana mziki wa Bongo fleva Ray C leo haja na hii mpya akionyesha kuangua kicheko ile mbaya ikisemekana ni baada ya kuanza Tiba Sobber House, kama tunavojua kwamba Sobber House nikulee alikokuwa Chid Benzi akipata matibabu ya matumizi ya madawa ya kulevya, ni habari iliyojitokeza katika Gazeti la AMANI.