Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
22 Aug

HAINAGA USHEMEJI, JAMAA APATA KIPIGO CHA MBWA MWIZI...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Jamaa huyu amejikuta akiambulia kipigo kizito kutoka kwa mke wake baada ya kumfuma anajisevia na mwanamke mwingine, hii ni baada ya mwanamke kupata dharula na kwenda hofisini kwa mmewe na kukuta hayupo, akaamua kurudi nyumbani na kukuta anajisevia na jimama.

STARZTZ

HAINAGA USHEMEJI, JAMAA APATA KIPIGO CHA MBWA MWIZI...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974