Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

matukio

WANAFUNZI 7802 KUFUKUZWA CHUO KIKUU DODOMA (UDOM)...

Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi Teknolojia na Ufundi ilitangaa kuwafukuza wafanzi 7802 kutoka katika chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kufuatia Mgomo wa walimu unaoendelea hivi sasa. Waziri Joyce Ndalichako amesimama Bungeni leo kuongelea suala...

Read more

VIDEO: BUNGENI KWA PAMBA MOTO BAADA YA WABUNGE KUFUKUZWA BUNGENI DHIDI YA KUFUKUZWA KWA WANAFUNZI UDOM... WANAFUNZI

Hii hapa video iangalie alafu uache Comment juu ya hili swala la Wanachuo wa UDOM kufukuzwa..

Read more

WADAU KUCHANGAMKIA WINDHOEK TAMASHA LA NYAMA CHOMA VIWANJA VYA LEARDERS JIJINI DAR ES SALAAM...

Akionekana pichani Mtaalamu wa Nyama choma kutoka Mkoani Arusha, Jackson Isaya, akionyesha utaalamu wake katika Tamasha la Nyama choma.

Read more

MPYA MJINI!! WANAWAKE WAANDAMANA WAKIDAI KUKOSA WANAUME WA KUWAPA UJAUZITO...

Wanawake katika Jimbo la Ndeiya Nchini Kenya walifanya maandamano ya Amani wakiwatwisha tuhuma waume zao kwa kushindwa kuwapatia ujauzito kwa madai ya matumizi ya Pombe haramu zinazosababisha kupunguza nguvu za kiume.

Read more

VIDEO: STAA LULU AZUA UTATA BAADA YA KUPOST VIDEO HII...

Hii ni baada ya kutangazwa kwa shindano la Lulu husband search, nikiwa naamini kabisa vijana wa kiume watajitokeza kuwania nafasi hiyo moja.Lulu ni mmoja kati ya wadada warembo hapa Bongo na wanaojua vizuri kuvaa viwalo na kupendeza.

Read more

STAA WA MUZIKI WA BONGO FLEVA MALKIA EXAVERY YAMKUTA MAKUBWA HAYA...

Malaika anayetamba na wimbo wa Raruararua hivi kalibuni yalimkuta makubwa baada ya Gari yake aina ya Toyota Harrier Lexus kunasa kwenye matope na kushindwa kutoka akiwa huko Kigamboni akiwa anatoka kurekodi. ameeleza kisa hicho akisema yeye hakuwa na...

Read more

NYOTA NDOGO AZAWADIWA GARI KAMA ZAWADI YA HARUSI...

Mama mlezi wa pwani imeonekana ashapata wa kumtunza na kumtunuku asilimia moja moja baada ya kuzawadiwa Gari kama zawadi ya Harusi.

Read more

KAMA ULIIKOSA KUIONA HII YA MBUNGE ZITTO KABWE AKIMVISHA PETE MCHUMBA WAKE...

Mwana siasa Zitto Kabwe ameamua kuacha ukapela, kwenye picha akionekana kumvisha pete ya uchumba mchumba wake anayetarajia kumuoa.

Read more

PROFESA ANNA TIBAIJUKA KITANZINI TENA AJIMILIKISHA SHAMBA LA HEKA 4000...

Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka na Mkuu wa Wilaya ya Siha, Dk. Charles Mlingwa wamelipuliwa wakidaiwa kutumia madaraka yao vibaya. Tuhuma hizo zilitolewa jana na Wabunge wa vyama vya Upinzani Conchesta Rwamlaza (Viti maalum-Chadema) na...

Read more

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA HARAKATI ZA KUUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM...

Baadhi ya mawakili na Wanasheria wakiingiza mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam Bwa. Mbonea Wilson Kabwe katika viwanja vya Karimjee kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho.

Read more
<< < 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974