Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

matukio

UNDANI WA AFISA WA SERIKALI KUCHINJWA KIKATILI...

Ni habari ya kusikitisha afisa wa Serikali kuchinjwa kikatili, Majirani wasimulia maisha yake siku moja kabla ya kifo wabaki kuwashangaa watuhumiwa. Habari zaidi ni katika Gazeti la UWAZI.

Read more

PAPA FRANCIS AANGUKA GAFLA WAKATI AKIONGOZA IBADA...

Kiongozi wa kanisa la Kikatoliki Duniani Papa Francis ameanguka gafla wakati akiwa anaongoza misa Poland baada ya kujisikia vibaya, inadaiwa Papa anasumbuliwa na tatiz na maumivu ya Miguu na Mgongo.

Read more

BABU SEYA TAABANI, AKIMBIZWA MUHIMBILI KESI YAKE ARUSHA...

Hii ni habari inayoonekana kusikitisha kwa Watanzania wale wa Timu Babu seya. Kama tunavojua kwamba Babu Seya Yupo Gerezani akitumikia kifungo cha miaka kumi, sasa kwa mujibu wa taarifa zinasema 'Akimbizwa Muhimbili, kesi yake Arusha yawekwa kiporo.'

Read more

RAIS JOHN POMBE MAGUFULI ACHAGULIWA KUWA M/KITI MPYA WA CHAMA CHA MAPINDUZI...

Ni July 23, 2016 katika Ukumbi mkuu wa CCM wa Mjini Dodoma alipochaguliwa M/kiti mpya wa Chama cha Mapinduzi baada ya aliyekuwepo Mhe Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete.Kwa mujibu wa kura zilizopigwa ni 2398, Zilizohalibika ni 0, kura halali 2398, kura...

Read more

ALIKIBA NA BARAKA DA PRINCE WAVAMIWA NA MAJAMBAZI SOUTH AFRICA...

Hii ni taarifa kuhusu waimbaji wa Bongofleva Alikiba na Baraka Da Prince ambao wote wako chini ya Lebo ya Rockstar 4000, kuvamiwa na majambazi wenye siraha kali Afrika Kusini saa tatu usiku kwa saa za Afrika Mashariki July 20, 2016.

Read more

MTANZANIA AWEKWA REHANI KWA BIASHARA YA UNGA PAKISTAN...

"Biashara ya Unga ni Balaa" Hii ni baada ya Mtanzania mmoja kukamatwa na madawa ya Kulevya huko Pakistan, pata habari kamili kwa kujinunulia Gazeti lako la MTANZANIA sasa.

Read more

MHUDUMU AMCHUKULIA POA JAMBAZI NA JAMBAZI KUONAHIVYO AKAAMUA KUCHANJA MBUGA...

Ni katika New Zealand baada ya jambazi mwenye bunduki kuvamia Restaurant moja akitaka apewe pesa lakini muuzaji akachukulia poa ata hakushughurika nae kitendo kilichomshangaza jambazi na kuamua kuamsha na mia.

Read more

MTOTO WA MIAKA MINNE AUAWA NA KUTUPWA KISIMANI...

Mtoto wa kike Raihima Salim Ali (4) amekutwa amekufa huku mwili wake ukiwa umening'inizwa kisimani na vidole vya mikono vimekatwa na mashavu kuchubuliwa. Tukio hili limetokea jana asubuhi katika eneo la Njia panda Mbagala, Temeke baada ya mtoto kutoweka...

Read more

NIKUTOKA KATIKA VIWANJA VYA IKULU DAR ES SALAAM KUMPOKEA WAZIRI MKUU WA INDIA...

Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimpokea Waziri Mkuu wa India. Kalibu sana Mhe Nalendra

Read more
<< < 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974