Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

matukio

AIBU! AIBU! MHESHIMIWA ABAMBWA GESTI AKIWA NA MWANAE...

Katika habari zilizoshika headlines zetu leo ni pamoja na hii ya huyu mzee wa Kanisa, hii ni baada ya huyu mzee wa Kanisa kukutwa Gesti akiwa na mwanae huku taarifa zikisema ana wanawake wanne, alipigwa maswali akaanza kujing'atang'ata.

Read more

ATUPWA JERA MIAKA 30 KWA KULAWITI MSICHANA MAKABURINI...

Mahakama ya Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi imemhukumu Ally Rashidi maarufu kwa jina la Ally mwizi kifungo cha miaka 30 Jela baada ya kupatikana na hati ya kumlawiti msichana mwenye umri wa miaka 25 Makabulini, hukumu hiyo iliyovuta hisia za watu wengi...

Read more

VIFO VYAZIDI KUONGEZEKA, HOFU YATANDA WATU KUBAKI BILA MAKAZI...

Hii ni kufuatia tukio la tetemeko la Ardhi lililotokea September 10, 2016 katika Maeneo ya kanda ya Ziwa, kwa mujibu wa taarifa nilizonazo ni kwamba idadi ya vifo yazidi kushamili ikiwa mpaka sasa watu 16 wamefariki, 253 wamejeruhiwa na Nyumba 840 zaanguka...

Read more

MIILI YA WALIOPOTEZA MAISHA WAKATI WA JANGA LA TETEMEKO LA ARDHI YAAGWA...

September 10, 2016 lilitokea tetemeko la Ardhi katika maeneo ya kanda ya Ziwa na eneo la Mkoa wa Kagera kuonekana kuathiriwa sana na janga hilo. Jana September 11, 2016 katika Uwanja wa Mpira wa Kaitaba mjini Bukoba Mhe. Kassim Majaliwa ameungana na waombolezaji...

Read more

AUDIO: NI TARIFA KUTOKA BUKOBA KUHUSU JANGA LA TETEMEKO LA ARDHI...

Ikiwa ni September 10, 2016 katika eneo la kanda ya Ziwa kutokea tetemeko la Ardhi na kusababisha vifo vya watu wengi na wengine wakibaki wakiwa Majeruhi, uharibifu wa Mali nyumba kubomoka na mengine mengi. Ebu tuwasikilize wenzetu kutoka Bukoba wana...

Read more

PICHA:TETEMEKO LA ARDHI LA LETA MAAFA MKOANI KAGERA, WENGI WAFA...

September 10, 2o16 limetoakea Tetemeko la ardhi na kuacha vifo zaidi ya 20 huku zaidi ya 162 kubaki wakiwa majeruhi, na huku wengi wakibaki bila makazi Mkoani Kagera. Inasadikika Nyumba za watu wengi zimebomoka na kuacha wengi wakilia wakkiwa hawana pa...

Read more

MAAJABU! HAKKA KA MJAMAA KANAONGEA KAMA BINADAMU...

Ni katika pitapita zangu mtaani, nimekutana na mkusanyiko wa watu bila kujua walikuwa wakishangaa nini, ile nafikatu nakaona haka kamsela, Pwaaaah!!! nikayamwaga, kanatiririka kama Binadamu.

Read more

MAMA FEKI ACHPWA MBOKO MBELE ZA WANAFUNZI AIBU!!...

Hii imetokea huko Mwanza baada ya mwanafunzi kutumwa mzazi na kuleta mama wa kukodi, mama anaulizwa maswali kuhusu mwanae hana analoelewa ata moja, ndipo walipoamua kutafuta namba za mzazi wa kweli kwenye vitabu vya shule vyenye namba za wazazi, wakampata...

Read more

HAYA NDIYO MASWALI 10 YA KUNASWA KWA SIRAHA NZITO DAR...

Katika pitapita zangu leo nimekutana na hii habari nzito inayohusu kukamatwa kwa siraha nzito Dar es Salaam, kati ya siraha zilizokamatwa ni pamoja na Kiroba cha risasi, bunduki, pingu, mabomu na pia vipo vifaa vya kijeshi.

Read more

AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUMUITA RAIS MAGUFULI KILAZA...

Ni mkazi wa Dar es salaam Elizabeth Asenga mwenye umri wa miaka 40, amefikishwa katika Mahakama ya Mkazi Kisutu kwa Tuhuma za kuandika maneno ya kumkashifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais John Pombe Magufulikupitia mtandao wa kijamii wa What's...

Read more
<< < 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974