Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

matukio

VIDEO: DONALD TRUMP AKITANGAZWA KUWA RAIS KATIKA UCHAGUZI WA MAREKANI NOVEMBER9, 2016...

Kama uliikosa mtu wangu video hii ya donald Trump alivyoshinda kwenye uchaguzi wa kumrithi Barack Obama, hii hapa sasa nimekusogezea kalibu video yake. Donald J. Trump Full Victory Speech after becoming the President-elect of the United States. Trump...

Read more

PICHA: MALFU YA WAKAZI WA WAMAREKANI WAANDAMANA WAKIPINGA SHINDI WA DONALD TRUMP...

Kama unavojua mtu wangu, Marekani ililkuwa kwenye mchakato wa Kumtafuta Rais ambaye angefuata baada ya Barack Obama. Baada ya uchaguzi wa Rais wa Marekani kumalizika na mshindi kutangazwa kuwa ni Donald Trump wa chama cha Republican, imeripotiwa kuwa...

Read more

UNYAMA DAR UMEZIDI SASA UMEZIDI, JAMAA AMUUA MKE WAKE KWA JEMBE KISA HIKI HAPA...

Mtu wangu hizi ni kati ya habari nilizonazo leo mtu wangu, zinamhusu jamaa kutoka Dar es salaam aliyemuua mke wake kwa kumchinja na jembe, kisa kimejulikana kwamba wamekaa miezi 6, mwanaume bila kupewa unyumba. Mwanaume adai ni bora jela kuliko kuendelea...

Read more

PICHA: NA HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA JANA NOVEMBER 5, 2016 KATIKA TIGO FIESTA DAR ES SALAAM....

Mtu wangu November 5, 2016 katika Viwanja vya Riders Kulikuwa na Jambo la maana sana mtu wangu, lakini kama ulikosa usiwe na shaka kwani nimeshakusogezea mchezo mzima hapa. Ikiwa ilikuwa ni mzunguko wa Fiesta katika mikoa yote Tanzania sasa jana ilikuwa...

Read more

HAIJAWAHI KUTOKEA, KATIKA FIESTA PANYA ROAD WAVAMIA SHOO, WATU KIBAO WAZIMIA....

Mtu wangu kazi yangu nin kuhakikisha hupitwi na kitu, na hii ni kutoka katika tukio muhimu sana nikiwa nazungumzia Tigo Fiesta Dar es Salaam iliyofanyika jana November 5, 2016 katika viwanja vya Riders. Habari nilizo nazo hapa ni kuhusu Panya road waliovamia...

Read more

VIDEO:MISS KILIMANJARO, GRORY MINJA KUTOKA KATIKA TOP 10 YA KUMSAKA MISS TANZANIA ASAINI MKATABA WA KAMPUNI YA MAGA "PII"...

Ni siku chache sasa toka mashindano ya kumsaka miss Tanzania 2016 kumalizika hivi karibuni ambapo Fainali zake zilifanyika kwenye jiji la Mwanza kwa mara ya kwanza toka kuanzishwa kwa mashindano hayo miaka zaidi ya ishirini iliyopita, Miss Tanzania 2016,...

Read more

VIDEO: HUYU NDIYE MISS TANZANIA MWAKA 2016, ALIYESHINDA JANA OCTOBER 30, 2016 JIJINI MWANZA...

Fainali ya Miss Tanzania 2016 imefanyika Mwanza Tanzania October 29 2016 ambapo mshindi ametangazwa kuwa ni Diana Lukumai ambapo saa chache baada ya kutangazwa kwake baadhi ya watu wameonyesha kutoridhishwa na ushindi wake. Miss Tanzania namba tatu kwenye...

Read more

STAA WEMA SEPETU AKAMATWA NA KUPIGWA PINGU!! MADAI NI KUKUTWA NA MADAWA...

Ni moja kati ya habari nilizonazo hapa Studio zikiwa zinasema Wema Sepetu akamatwa na Unga, Madai yanasema ni Alhamisi iliyopita akiwa katika safari yake ya China ndiko kitimtim kilikoendelea.

Read more

VIDEO: WALIO MUUWA ALBINO BUKOBA WAHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA,SOMA HABARI HAPA...

Mahakama kuu Kanda ya Bukoba imewahukumu kunyongwa hadi kufa Pankras Minago na Lameck Bazil baada ya kupatikana na hatia ya kumshambulia na kumuua kwa kumchoma na vitu vyenye ncha kali na kunyofoa baadhi ya viungo vyake mlemavu wa ngozi, Magdalena Andrew...

Read more

HUKU AKIKOSA TUZO ZA SAUZI, NYUMBA YA DIAMOND YATEKETEA KWA MOTO, WAPANGAJI....

Ni October 25, 2016 nikiwa na hii habari ya staa kutoka katika Tasnia ya bongo fleva Diamond Platnumz, leo nimekuletea habari hizi mbaya kidogo zinazohusu Nyumba yake kuteketea kwa moto hali iliyosababisha wapangaji kulala nje huku mama Diamond akisitisha...

Read more
<< < 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974