Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

JANETH JACKSON APATA UJAUZITO AKIWA NA MIAKA 49 IKIWA...

Janeth Jackson dada wa Marehem michael Jackson inasemekana kuwa mjamzito sasa na akiwa na Umri wa miaka 49 akiwa ni mtoto wao wa kwanza na mumewe, Wissam Al Mana.

Read more

BIFU KWISHA!! HII ILIKUWA NI KATI YA WIZKID NA MREMBO CHIDINMA EKILE. WAKIELEZA KISA...

Staa wa Muziki Nigeria, Chidinma Ekile na Staa mwenzake wa Muziki Nchini humo, ayodeji Balogun 'Wizkid' wametatua rasmi bifu lao na inavosemekana sahivo mambo yao Murua!!

Read more

RANIERI AWATAKA NYOTA WAKE KUSALIA KWA MWAKA MMOJA ZAIDI.

Meneja wa kilabu ya leicester Claudio Ranieri amewataka nyota wake katika kikosi chake kusalia katika timu hiyo kwa mwaka mmoja zaidi. Mbweha hao waliwashangaza wengi kwa kushinda ligi hiyo baada ya kutumia pauni milioni 57 pekee msimu huu. Winga Riyad...

Read more

KIJANA ALIYEUGUA UGONJWA WA KUZEEKA AFARIKI.

Kijana mmoja wa mjini Mumbai ambaye amekuwa akiugua ugonjwa usio kawaida wa jeni ambao huufanya mwili kuzeeka mara nane zaidi ya ilivyo kawaida amefariki. Nihal Bitla mwenye umri wa miaka 15 alikuwa mwanaharakati wa India anayefanya kampeni dhidi ya ugonjwa...

Read more

WATU WANNE WAMEOKOLEWA KWENYE VIFUSI NAIROBI.

Watu wawili wametolewa wakiwa hai kutoka kwenye vifusi siku sita baada ya jumba kuporomoka katika mtaa wa Huruma, Nairobi. Watu wawili, mwanamke na mwanamume, wameokolewa saa chache baada ya mwanamke kutolewa kwenye vifusi na kupelekwa hospitalini. Juhudi...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOTWANDIKIA LEO MAY 5, 2016

Nikianza kwa kukusogezea post za habari mbalimbali zilizojili katika Magazeti ya Tanzania leo. Gazeti la SOKA lina habari inayosema "Simba mguu sawa", Gazeti la MAJIRA lina habari inayosema "Utoaji wa elimu bure..", Gazeti la AMANI lina habari inayosema...

Read more

MSANII WA HIPHOP ROMA ADAI HATORAP KUHUSU STAREHE HADI NCHI IBADILIKE, AMESEMA...

Msanii wa Hiphop Roma amefunguka kuhusu ujumbe kwenye nyimbo zake na kusema ataendelea kuimba nyimbo hizi mpaka atakapo pata uongozi na utawala utakao badilisha Taifa lake na kumfanya aanze kuimba kula bata na starehe.

Read more

MASTER JAY AELEZA SABABU ZA KUACHANA NA MKE WAKE WA KWANZA...

Mtayarishaji wa Muziki Mkongwe na mmiliki wa studio ya MJ Records, Master Jay amefunguka na kusema kuwa yeye aliwahi kuoa mapema kutokana na 'Presha' (Shinikizo) la wazazi wake na jamii kiujumla.

Read more

MWANAMITINDO MILLEN MAGESA ATOA UJUMBE HUU KWA WATANZANIA WOTE..

Mwanamitindo wa Kimataifa kutoka Tanzania anayefanyia shughuri zake Nchini Afrika Kusini na Amerika, ametoa wito kwa watanzania, akiwataka kuwa wazalendo.

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974