Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOTWANDIKIA LEO MAY 7, 2016

Kama kawaida yangu mpenzi msomaji naendelea kukusogezea post za habari mbalimbali zilizoandikwa katika Magazeti ya Tanzania leo nikianza na Gazeti la SANI lina habari inayosema "Maswali 5 ya kunyongwa kwa Saddam Hussein", na Gazeti laTANZANIA DAIMA lina...

Read more

MFANYABIASHARA JACOB JUMA AUAWA NAIROBI.

Mfanyabiashara mashuhuri Jacob Juma, ambaye amekuwa akizua mjadala mitandaoni Kenya kutokana na ujumbe wake anaoandika hasa kwenye Twitter, ameuawa kwa kupigwa risasi jijini Nairobi. Taarifa zinasema Bw Juma alipigwa risasi na watu ambao walikuwa wakiendesha...

Read more

SPIKA PAUL RYAN AMPINGA DONALD TRUMP.

Spika wa Republican katika Baraza la Wawakilishi la Marekani,Paul Ryan,amesema hayupo tayari kumuunga mkono Donald Trump kuwa mgombea wa Urais kupitia chama hicho. Mfanyabiashara huyo bilionea anaonekana dhahiri kushinda katika mbio za uteuzi kukiwakilisha...

Read more

LIVERPOOL YAINGIA FAINALI EUROPA LEAGUE.

Jurgen Klopp amefanikiwa kuifikisha Liverpool katika hatua ya fainali ya ligi ya Uropa baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Villarreal. Wakiwa nyuma kwa bao moja katika mchezo wa awali, Liverpool walisawazisha matokeo baada ya Bruno Soriano...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOTWANDIKIA LEO MAY 6, 2016

Nikienderea kukusogezea post za habari mbalimbali zilizojitokeza katika magazeti ya Tanzania leo. Naanza na Gazeti la UHURU lenye habari inayosema "Wameumbuka", Gazeti la CHAMPIONI lina habari inayosema "Povu la nini? Yanga bingwa", katika Gazeti la MWANA...

Read more

DUDU BAYA: MSIINGIE KWENYE FANI KUUZA SURA HAYA NI MANENO...

Msanii Godfrey Tumain au Dudu Baya amewataka mabinti waliopo Bongo Movie pamoja na Video qeens kutumia kazi hiyo kama sehemu ya kujitafutia wanaume wa kuwapa pesa ili waishi vizuri.

Read more

HAYA NI MANENO MAKALI ALIYOTOA MSANII ABDUL KIBA KWA TEAM KIBA..

Msanii wa Bongo fleva Abdul Kiba "nilijalibu kuzungumza vile kwasababu niliona kuwa team ilikuwa imelala na nikataka kujua wamelalia wapi kwa hiyo mimi nilifanya makusudi tu ili kufaham walipolalia, mbona wapo kimya", alisema Abdul Kiba

Read more

HII NDIYO SAFARI YA MWISHO YA PAPA WEMBA MJINI KINSHASA..

Mamia kwa Maelfu ya watu walijumuika kuuaga mwili wa aliyekuwa mwanamuziki wa Nyimbo za Congo siku ya Jumatano huko Njini Kinshasa.

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974