Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOTWANDIKIA LEO MAY 8,2016

Naanza kwa kukusogezea post za habari mbalimbali zilizo jitokeza katika Magazeti ya Tanzania leo, zikiwemo habari za Michezo, Siasa,Matukio n.k

Read more

PETE YA STAA LULU YAZUA GUMZO...

Msanii wa Filamu Bongo, Elizabeth Michael 'Lulu' ameibua Gumzo kubwa baada ya hivi kalibuni kuingia kwenye Ukumbi wa Maisha Besent uliopo Kijitonyama jijini Dar es salaam akiwa ametinga pete yake ya uchumba. Elizabeth

Read more

SHETA AKANUSHA TAARIFA ZA KUWA DIAMOND ALIWAHI KUTOKA NA MKEWE..

Sheta amekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kuwa Diamond amewahi kutoka kimapenzi na mama Qayllah. wiki kadhaa zilizopita Sheta alifuta picha zote kwenye akaunti yake ya Instagram uku akiwaacha mashabiki wake katika hali ya sintofahamu kuokana na...

Read more

SIRI YAFICHUKA DHIDI YA DRAKE NA RIHANNA KUWA KWENYE MAHUSIANO KWA...

Jarida la people limefumua bonge la sirikuwa staa Rihanna na Rapa Drake wamekuwa na mahusiano ya siri kwa zaidi ya Mwezi mmoja sasa.

Read more

MKALI MZIWANDA AFUNGUKA KUHUSU KURUDIANA NA SHILOLE...

Msanii Nuh Mziwanda ambaye kwasasa anafanya poa na wimbo wake ambao amemshirikisha Alikiba amefunguka na kusema kuwa hatakama ikitokea mpenzi wake huyo akitaka kurudiana na yeye ni kitu kisichowezekana kwa sasa.

Read more

YAZUKA MIJADARA MINGI DHIDI YA PICHA ALIZOPOST YOUNG DEE..

Usiku wa kuamkia May 6, 2016 Paka Rapa Young Dee alipost picha akiwa anavuta kitu kwenye ukurasa wake wa Instagram, ambapo mashabiki wake walitafsiri ni bangi na kuanza kumporomoshea Coments kuwa analekea kuwa kama Chidi Benz.

Read more

ANNA TIBAIJUKA: WANAONIITA MWIZI WATAISOMA NAMBA...

Mbunge wa mukeba kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka jana alikuwa mkali Bungeni akisema yeye si mwizi na kuwabeza wanaomuita hivyo kuwa wataisoma namba.

Read more

VIDEO:WABUNGE WANAWAKE WAPINGA KUITWA 'BABY'...

Umoja wa wanawake UKAWA watoka nje ya Ukumbi wa Bunge Dodoma baada ya jana Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga kusema kuwa 'Wabunge wote wa viti maalum CHADEMA iliwapate nafasi hizo nilazima waitwe kwanza 'Baby' kauli iliyopingwa na baadhi ya wabunge.

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974