Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

PICHA 6: SHILOLE ALIVYOISHEREKEA SIKU YA MAMA DUNIANI NA WAZEE WASIOJIWEZA MWANZA...

Kama tunavojua kwamba leo May 8, 2016 Ulimwenguni kote tunaadhimisha siku ya mama duniani na kila mmoja anaisherekea hii siku kwa namna yake.Hii ndiyo kazi aliyoifanya Shilole huko Mwanza.

Read more

MSANII IRENE UWOYA AACHA UJUMBE MZITO ASEMA..

Mkali wa filamu Nchini, Irene Uwoya amewataka wasanii wenzake hasa wanawake kujituma katika kazi nyingine kama vile biashara ili kuweza kujikomboa kimaisha.

Read more

KOREA YATUMIA MABOMU YA NYUKLIA KIJILINDA.

Korea Kaskazini imesema kuwa itatumia silaha zake za nyukilia kujilinda rais Kim Jong-unamesema. Kiongozi wa wa taifa hilo lenye usiri mkubwa Kim Jong-un aliwaelezea wajumbe wa kamati kuu ya chama tawala Workers' Party mjini Pyongyang kuwa jeshi lao litatumia...

Read more

ASHUKIWA KUWA GAIDI KWA KUFANYA HESABU.

Profesa wa uchumi kutoka Italia, ameelezea hasira za kucheleweshwa katika angatua ya Philadelphia Marekani kwa sababu eti mmoja wa abiria aliyekuwa ameketi karibu yake alimshuku kuwa gaidi kwa sababu alikuwa akifanya hisabati. Profesa Guido Menzio anasema...

Read more

RIYAMA AYASEMA HAYA MENGI 'SIWEZI KUMSAMEHE KAJALA'..

Mwigizaji mahili katika tasnia ya Filamu Bongo Riyama Ali ametoa malalamishi kwa madalali wa kazi za wasanii kwa kuwa chanzo zha dhuluma kwa wasanii wanaotengeneza filamu huku wao wakijinuaisha jasho lao akiongea na FC Riyama amedai ametapeliwa kazi...

Read more

MREMBO GIGY AFUNGUKA MENGI ASEMA HATAKI KUFANYA MAPENZI......

Video qeen ambaye haishwi vituko kila siku Gigy Money amefunguka kwa kusema yeye sio mtu wa kupenda kufanya mapenzi kama watu wanavyodhani.!

Read more

TUZO ZA WANAFUNZI BORA AFRIKA MASHARIKI "ALL-STARS STUDENTS AWARDS" ZAANZISHWA..

Mratibu wa All- stars Students akiongea katika Kipindi cha Morning Trumpet kuelezea Tuzo hizo alisema, wameanzisha Tuzo hizo zitakazotolewa kwa wanafunzi wa Shule za Sekondari A-level na O-level za afrika Mashariki

Read more

HIZI NI STYLE ZA HUYU TRAFIKI AKIWA...

Kila Trafiki ana style yake ya kuelekeza Magari sasa na huyu kaja na yake akiwa na style tofautitofauti kama hivo, usitoke bila kuacha coment mtu wangu!!

Read more

MAKATIBU WAKUU WA VYAMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA WAKUTANA ZIMBABWE..

Kati ya Vyama vilivyohudhuria kutoka Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiliwakilishwa na Ndugu abdurahaman Kinana, kama tunavyo muona akitoa mada kwenye Kongamano hilo litalofanyika siku nne.

Read more

NAIBU SPIKA AFUNGUA SEMINA KWA WABUNGE UELEWA WA HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU..

Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Tulia Ackson amefungua rasmi semina kwa Wabunge juu ya uelewa wa watu wenye ulemavu Nchini, Tukio lililofanyika katika Ukumbi wa Bunge wa Msekwa Njini Dodoma jana.

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974