Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

MAMA WA SUPER STAA SNURA AANGUKA GHAFLA BAADA YA CHURA KUFUNGIWA...

Ikiwa wabongo wamecharuka mtandaoni wakiuzungumzia wimbo wa chura kwa namna mbalimbali wimbo wa Chura, kuna habari ya kuhuzunisha kuwa mama mzazi wa msanii huyo, Doto Sanzegara alijikuta akianguka kwa mshutuko baada ya Serikali kutangaza kumzuia mwanaye...

Read more

HUU NDIO MUONEKANO MPYA WA LIVERPOOL UTAKAOANZA KUTUMIKA 2016/2017...

Klabu ya Liverpool ya Uingereza imeamua kutoa rasmi jezi zao mpya ambazo tutegemee kuwaona wakizitumia katika Mashindano mbalimbali msimu ujao ikiwemo Ligi kuu Uingereza.

Read more

MKALI WA R & B BEN POL AIPA ALBAM YAKE JINA LA MTOTO WAKE LA...

Benard Paul 'Ben pol' akiwa anakilibia kutambulisha albam yake impya, albam hiyo ameipa jina la mtoto wake wa kwanza 'Mali' aliyezaliwa hivi kalibuni.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOTWANDIKIA LEO MAY 10, 2016

Nikiendelea kukusogezea habari zilizojili katika Magazeti mbalimbali ya Tanzania leo nakualika sasa ujisomee magazeti hapa...

Read more

SABABU YA WABUNGE KUOMBA RUSHWA AELEZA MAZITO...

Spika wa Bunge Job Ndungai, ametaja sababu zinazochochea wabunge kujiingiza kwenye vitendo vya rushwa, ni presha kutoka kwa wananchi inayotokana na kutakiwa kuchangia masuala mbalimbali katika majimbo yao.Spika huyo amewatangazia rasmi wabunge kuwa ofisi...

Read more

RAIS MAGUFULI ASEMA MIMI SIO JEURI WALA KATILI AFUNGUKA MAZITO...

Rais John Magufuli amesema hatua anazochukua dhidi ya watumishi wa Uma waliofanya ubadhirifu Serikalini na taasisi zake zinalenga kuwarudisha kwenye maadiri ya utumishi wa Umma, kufuuatia misingi ya kazi na sio vinginevyo.

Read more

STAA WEMA SEPETU AFUNGUKA JUU YA MCHEZAJI HARUNA NIYONZIMA AMEYASEMA HAYA...

Baada ya Yanga kuibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Segrada Esperanca ya Angora, Msanii wa filamu Nchini Wema Sepetu amekuwa akimpenda kiungo wa timu hiyo Mnyarwanda Haruna Niyonzima.

Read more

HIVI NDIVYO KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN WALIVYOKULA BATA HUKO CUBA. WAKIWA ...

Rapa Kanye West na Mke wake Kim K walitumia fursa yao vizuri ya kula Bata Cuba baada ya Nchi hiyo kumaliza tofauti zao na Marekani.

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974