Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOTWANDIKIA LEO MAY 11,2016

Nikiendelea kwa kukusogezea habari kuu zilizojitokeza katika Magazeti ya Tanzania leo, zikiwemo habari za Michezo,Udaku, n.k

Read more

Kwa Vipodozi vya kila aina vikiwemo, Mafuta ya kuondoa Chunusi,Madoamadoa kwenye

Kwa Vipodozi vya kila aina vikiwemo, Mafuta ya kuondoa Chunusi,Madoamadoa kwenye ngozi,Kukausha mafuta usoni,kupima aina ya ngozi yako,Pafyum za jinsia zote mbili (wanaume na wanawake), Lipshyne, lip stick,Make-up na vingine vingi tuwasiiane kupitia Namba...

Read more

MWANAMKE AUNDA BOTI LENYE UMBO LA UKE WAKE JAPAN.

Mahakama moja ya Japan imempata msanii mmoja bila hatia ya kutengeza boti iliyofanana na uke wake. Jaji aliamuru kwamba boti ya Megumi Igarashi iliofanana na uke wake na yenye rangi nyingi haikuashiria umbo la uke. Hatahivyo ,alipigwa faini ya dola 3,700...

Read more

MAN UNITED KUCHUANA NA WEST HAM.

Manchester United inatarajiwa kuimarisha mikakati yake ya kujikatia tikiti ya kushiriki katika fainali za kombe la klabu bingwa barani Ulaya msimu ujao, baadaye leo usiku wakati watasafiri ugenini kuchuana na West Ham. Manchester City ilitoka sare na...

Read more

WASHUKIWA WA MAUAJI RWANDA MAHAKAMANI UFARANSA.

Wakuu wawili wa zamani wa wilaya moja nchini Rwanda wamefikishwa mahakamani nchini Ufaransa kujibu tuhuma za kuhusika kwao katika mauaji ya kimbari yaliyotokea nchini Rwanda mwaka 1994. Hii ni kesi ya pili inayohusiana na mauaji ya kimbari ya Rwanda inayosikilizwa...

Read more

OBAMA KUZURU MJI WA HIROSHIMA.

Rais wa Marekani Barrack Obama anatarajiwa kutembelea Hiroshima mwezi huu akiwa ni rais wa kwanza aliyepo madarakani kufanya ziara ya mji huo wa Japan tangu ushambuliwe na bomu la kinyuklia la Marekani 1945. Ziara hiyo itakuwa miongoni mwa ziara za bara...

Read more

GUMZO MITANDAONI: Mama afichua mapacha wake watano Australia.

Mama mmoja raia wa Australia ametoa picha za mapacha watano aliowazaa mwezi Januari. Kim Tucci wa miaka 26 alichukua dadika mbili tu kujifungua wanawe hao, wasichana wanne na mvulana mmoja. Wote walitungwa kawaida, hakutumia matibabu yeyote ya uzazi....

Read more

WANASAYANSI WAGUNDUA NGOZI YA KUZIBA UZEE.

Wanasayansi wanadai kuunda aina ya ngozi inayoweza kubandikwa juu ya mwili wa mtu kupunguza muonekano wa mikunjo ya ngozi mwilini na ngozi inayopwaya chini ya macho kutokana na uzee. Ni aina ya maji maji mtu anayopaka mwilini alafu inaachwa kukauka ambapo...

Read more

KENYATA AWAKAMATA WANACHAMA 36 WA AL-SHABAB.

Vikosi vya usalama nchini Kenya vinasema kuwa vimewakamata washukiwa 36 wa kundi la wanamgambao wa al-Shabab tangu mwezi Septemba mwaka uliopita kulingana na gazeti la The Star nchini humo. Washukiwa hao walikamatwa katika msitu wa Boni mashariki mwa...

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974