Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

MSANII SHETA ASEMA SHIKOROBO INGEKIKI BILA HATA KCEE KWANI...

Hata hivyo wimbo wake mpya, Namjua ni moja kati ya nyimbo zake zilizopata kick kila kona ya Bongo kwa sasa umeshafanikiwa kupata views zaidi ya Laki mbili kwenye mtandao wa Youtube ndani ya siku nne toka umetoka.

Read more

BIYONCE ASABABISHA PILISI WAANDAMANE NCHINI MAREKANI SABABU...

Kundi moja la maafisa wa polisi limefanya maandamano kalibu na tamasha lililofanyika mji wa nyumbani wa nyota wa muziki Beyonce huko Houston.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOTWANDIKIA LEO MAY 12, 2016

Ikiwa ni kawaida yangu kukusogezea post za Magazeti ya Tanzania kila siku, na leo nimekuleteea habari kuu zilizonjitokeza katika Magazeti ya Tanzania leo.Soma hapa

Read more

JUSTIN BIEBER: SITAPIGA PICHA NA MASHABIKI.

Iwapo hujagundua basi ujue kwamba nyota wa muziki wa Pop Justin Bieber yuko katika ziara ya ulimwengu. Kwa sasa yuko nchini Marekani ambapo alionekana amepumzika katika mbuga moja kabla ya tamasha yake mjini Boston. Bieber ambaye alikuwa hana viatu aliwavutia...

Read more

TSVANGIRAI: FEDHA MPYA SIO SULUHU KIUCHUMI.

Chama cha upinzani nchini Zimbabwe kikiongozwa na Morgan Tsvangirai kinasema kuanzishwa kwa Bond Noti yaani Fedha ya Dhamana siyo suluhisho la tatizo la uchumi linaloikumba nchi hiyo na kesho watafanya kikao ili kutafuta la kufanya. Katika taarifa iliyotolewa...

Read more

RWANDA NI MWENYEJI WA WEFMWAKA HUU.

Rwanda inaandaa kwa mara ya kwanza kongamano la uchumi duniani - World EconomicForum. Kuna shughuli nyingi Kigali wakati kongamano hilo la mwaka hii linaanza Jumatano. Kauli mbiu ni "kushirikisha rasilmali za Afrika kupitia mageuzi ya kidijitali". Zaidi...

Read more

BIDII KAZINI YAZAA MATUNDA KWA BARAKA DA PRINCE ...

Baraka Da Prince ni miongoni mwa wasanii wa kiume wa bongo fleva ambao nyimbo zao zinachezwa sana kwenye Radio ambapo kwa sasa yuko mpaka kwenye Top 10 na Top 20 kupitia hit single 'siwezi' Ni miongoni mwa wasanii waliopata mialiko ya kutosha kwenye show...

Read more

BAADA YA PREZZO SASA NI ZAMU YA MSANII JAGUAR NA AKONTHEE

Meneja wa Msanii wa Kenya, Akothee amemjibu Jaguar baada ya kumuingiza msanii wake kwenye ugomvi wao na Prezzo. Akifanya Mahojiano na Kiss FM, Jaguar alisema, "so mi ntaachia Shaffie hiyo job aongee na yeye kwasababu Prezzo ni mdificult, tunaweza enda...

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974