Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

TAMKO LA WIZARA KULAANI MAUWAJI YA WATU 7 MWANZA...

Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na Watoto, limesikitishwa na tukio la mauwaji ya watu saba wa familia moja waliokatwakatwa mapanga baada ya kuvamiwa nyumbani, katika Kijiji cha Sima Wilayani Sengerema, Mkoani Mwanza siku ya Jumatano...

Read more

HII NI KASHFA ILIYOMPATA SELENA GOMEZI IKIHUSU KUIBA MME WA MTU...

Selena Gomezi amehusishwa kwenye mahusiano na Orlando Bloom baada ya kuonekana usiku wakiwa wote klabu baada ya Show huko Las Vegas, Nchini Marekani

Read more

MREMBO SHILOLE AYASEMA HAYA JUU YA UONGEAJI WA KIINGEREZA...

Msanii wa Bongo freva Shilole a.k.a Shishi baby amesema kuoingeea Kiingereza ni kipaji amesema 'mimi najua kuongea kiingereza vizuri sana ila napenda kuongea kiingereza kibovu kwaajili ya kuchekesha watu tu.'

Read more

POMBE YAZUA KIZAZAA KWA DADA HUYU BAADA YA KUNYWA POMBE KUPITA KIASI AKAANZA...

Hapa ni picha inayomuonyesha dada huyu mrembo in the name of partying wakati anaingia ata ku-blak out na kuzima .... ilikuwa hivi... jionee mwenyewe, pombe nouma, kwani alikunywa nakuanza kuona chengachenga!!

Read more

YAIBUKA MAPYA JUU YA PICHA YA GIGY MONEY NA MTANGAZAJI GADNER...

Mrembo Gigy Money anaesifika kuwa na bonge la Tako Bongo ameweka picha kwenye page yake ya Instagram na kutupia maneno kadha wa kadha, unajua alisema nini [...]

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOTWANDIKIA LEO MAY 13, 2016

Nikiendelea kwa kukusogezea post za habari kuu zilkizojitokeza katika Magazeti ya Tanzania leo, zikiwemo habari mbalimbali za Michezo na burudani, udaku, Habari n.k

Read more

LULU AANIKA SIRI YA KUTEMBEA NA WANAUME WALIOMZIDI UMRI ASEMA...

Kunako Sinema za kibongo funguka mahabati, Elizabeth Michael 'Lulu' amefunguka akisema anapenda kuwa na wanaume awanaomzidi umri kwasababu tatu, alisema napenda kuwa na wanaume wanaonizidi umri kwasababu "wanakuwa kama kaka, baba na mpenzi" aendelea kwa...

Read more

BABY MADAHA ASEMA KUAMUA KUTULIA NA NDOA YAKE YA KIARABU AKISEMA KUWA...

Mwigizaji wa filamu za Bongo, Baby Joseph madaha, ameibuka na kudai kwasasa ameamua kutulia katika ndoa yake na Mwarabu wa Dubai ambaye hakutaka kumtaja jina.

Read more

MHE PAUL MAKONDA AZIDI KUFICHUA MAKONTENA YA SUKARI

Imezidi kugundulika Sukari zilizofichwa na watu, Mhe Paul Makonda sasa kaamua kwenda mguu kwa mguu kusaka Wale waoficha sukari.

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974