Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

CHINA LEO WAMEKUJA NA MPYA WAANZA KUJENGA MERI INAYOFANANA KABISA NA TITANIKI...

Mtu wangu wa nguvu kama unaikumbuka kabisa ile Meli ya Titanic iliyojengwa na Harland na Wolff huko Belfast, iligonga mwamba wa barafu na kuzama Kaskazini mwa Atlantic mwaka 1912 na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 1,500 ilikuwa katika safari yake kutoka...

Read more

SHUHUDIA HAPA NYUMBA ZA KISASA ZILIZOJENGWA JUU YA MITI, ZENYE MWONEKANO SAFI....

Mtu wangu wa nguvu naendelea kudumisha ubora wa Studio ya STARZTZ, na leo ninazo headlines kutoka CNN kuhusu kujengwa kwa nyumba za kisasa juu ya miti kwajili ya utalii, na kampuni ya Blue Forest ndiyo imetajwa kuwa namba moja kwa kujenga nyumba za aina...

Read more

MKUU WA WILAYA MDOGO KULIKO WOTE AANIKA SIFA ZA MUME ANAYEMTAKA....

Mtu wangu wa nguvu kama ilikupita hii basi naikusogezea kalbu mtu wangu uweze kuujua ukweli alousema Mheshimiwa huyu ambaye anasadikika kuwa Ndiye Mkuu wa Wilaya mwenye umri mdogo kuliko wote. Amesema kwamba yeye anamtaka Mume yule ambaye ni Mdogo kuliko...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO DECEMBER 3, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

STARZTZ ni kituo bora cha matangazo. Mtu wangu wa nguvu kama ulikuwa mbali basi sogea kalibu uweze kupata habari nyeti na muhimu kwako kutoka katika Ulimwengu wetu wa leo.

Read more

IMEWEKA REKODI! HUYU MTOTO SIO WA SPOTI SPOTI, APEWA MILIONI 100 ILI AOLEWE....

Ni mrembo aliyetokea kuwa staa akiwa na umri mdogo kabisa, lakini sasa hivi amekuwa mama wa madaha sasa.Ni kuhusu habari zinazosema kwamba amekuwa bilionea sasa ikiwa ni baada ya kupewa Milioni 100 na nyumba ili aolewe.

Read more

MASTAA WALIPUKA NA MIMBA ZA MWENDO KASI!! MENINA, WENGI VITUMBO NDII!!....

Hizi ni habari za udaku kutoka kwa wasanii wetu wa bongo, zikionekana kupamba moto ikiwa kila mmoja anataka kuonekana yeye ni mrembo kuliko mwenzake. Sasa leo zimezuka mpya zinazosema wasanii kibao wa bongo waishia kutupiwa mimba ikiwa inaonekana kwa...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO DECEMBER 2, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Ndugu msomaji wa makala zangu naendelea kukusogezea zile habari muhimu kutoka katika magazeti yetu leo.

Read more

VIDEO: HUU NDIO UFAFANUZI UNAOHUSU SUALA ZIMA LA PESA KUKAUKA MIFUKONI...

Kumekuwepo na malalamiko ya watu wengi kusema kuwa fedha imekauka mfukoni hasa kipindi hiki, Leo November 30 2016 Msajili wa hazina, Lawrance Mafuru amezungumza na wandishi wa habari moja wa ishu aliyoitolea ufafanuzi ni kuhusu malalamiko ya wengi kuwa...

Read more

HII NDIYO ADHABU ALIYOIPATA KOCHA WA MANCHESTER UNITED BAADA YA KOSA LA UTOVU WA NIDHAMU...

November 30 2016 katika habari zilizoshika headlines zetu ni pamoja na hii kuhusiana na kocha wa Man United Jose Mourinho ambapo chama cha soka England FA kimetangaza kumfungia mechi moja kukaa katika benchi na kumpiga faini ya pound 16,000 ambazo ni...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO DECEMBER 1, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Mtu wangu wa nguvu naendelea kukusogezea zile habari kutoka katika pande zote za Dunia. Lakini pia waweza kunifollow facebook kwa jina Chuyan'g Custarah.

Read more
<< < 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 20 30 40 50 60 70 80 90 100 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974