Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

JOKATE AJA NA HII MPYA, KAZIMIKA KWA BARAKA DA PRINCE...

Mrembo huyu wa nguvu Jokate Mwegero a. k . a Kidoti amefunguka kuwa katika wasanii wa Bongo fleva anaowakubali sasa Bongo ni Baraka Andrew 'Baraka Da Prince' ameuteka vilivyo moyo wake.

Read more

TCRA YAIADHIBU EATV NA RADIO E FM, IJUE SABABU HAPA...

Dar es salaam Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA), imevitoza faini vituo vya EATV na E FM baada ya kukiuka kanuni za utangazaji[...]

Read more

STAA WEMA SEPETU ATOA UJUMBE MZITO HUU KUHUSU KUANIKA MAMBO YAKE MTANDAONI...

Dar es salaam huitaji kuzunguka kwenye mapoli unapolitaja jina la Staa Wema Sepetu kwasababu anafahamika na watu wengi ndani na nje ya Nchi. Kutokana na kwamba amependa kila kitu chake kutupia mtandaoni inaonekana watu kujadili mendine yasiyo kama kawaida...

Read more

CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA BUNGE KUPATA MWENYEKITI MPYA...

Katibu wa Chama cha wafanyakazi wa Serikali kuu na Afya (TUGHE) Mkoa wa Dodoma Bw. Nchenya John akizungumza na wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge (hawapo pichani) kabla ya uchaguzi wa Vingozi wa TUGHE Tawi la Bunge uliofanyika mapema wiki hii Mkoani Dodod...

Read more

KAMA ULIIKOSA HII VIDEO WALIOPGA WASANII NISHA, MAUFUNDI, HARMONIZE NA MPENZI WAKE JACKLINE WOLPER HII...

May 27, 2016 ambapo wakazi wa Mtwala kupitia Nisha Entertainment walipata buludani kutoka kwa wachekeshaji Maufundi & Nisha huku burudani nyingine ikishuka na Msanii kutoka Lebo ya Wasafi Classic (WCB) Harmonize aliongozana na mpenzi wake Jackline Wo...

Read more

KUTANA NA DESIGNER ANAYETENGENEZA NGUO MBALIMBALI ZA ASILI NA ZA KISASA KABISA MTR...

Ni kijana anayetoka Katika Chuo cha Mlimani school of Proffessional Studies akiwa katika muonekano tofautitofauti. Huwezi kuamini hii ni kazi ya mikono yake. Hujachelewa wasiliana nasi hapa kupata Disign yako uipendayo: =0714260485 =0759110974

Read more

MSANII CHID BENZI AKANUSHA KUTOROKA REHAB BAGAMOYO...

Msanii Chid Benz amekanusha tarifa zilizopo kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii na vyombo vya habari zikisema kuwa yeye ametoroka Rehab Bagamoyo alikokuwa akifanyiwa matibabu ya kuacha madawa ya Kulevya.

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974