SERIKALI imeamua kufufua mashamba yote ya kilimo na mifugo nchini. Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba amesema kwa kuanzia, wiki ijayo maofisa wa Benki ya Kilimo Tanzania watatembelea shamba la mifugo la Kitulo, Makete. Hatua hiyo inatokana...
Kama uliikosa hii ya usiku wa kuamkia May 28 baada ya ushindi wa Real Madrid dhidi ya Atletico Madrid katika Mchezo wa Fainali uliochezwa katika jiji la Milan, Italia uwanja wa San Siro. Real Madrid waliweka rekodi ya kutwaa kombe hilo kwa mala ya 11,...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, January Makamba akizungumza na baadhiya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Parakuyo ambao wengi wao ni wanaotoka katika familia za Wafugaji.
Ikiwa ni May 29, 2016 Mbwana Samatha ameandika Historia mpya kwenye maisha yake baada ya kuisaidia timu ya Genk kushinda mchezo wa fainali ya play off na hatimaye kufuzu kucheza michuano ya Ulaya (Europa League)
Wanawake katika Jimbo la Ndeiya Nchini Kenya walifanya maandamano ya Amani wakiwatwisha tuhuma waume zao kwa kushindwa kuwapatia ujauzito kwa madai ya matumizi ya Pombe haramu zinazosababisha kupunguza nguvu za kiume.
Baada ya Rapa Aka kuweka wazi kuwa yeye na Dj Zinle watabaki kuwa wazazi tu kwa mtoto wao ambapo Rapa huyo ametangaza rasmi kuwana mahusiano na Bonanga Matheba na jambo hili ameliweka wazi kabisa.
Hii imeonekana kwamba wadada wengi wanapenda kutumia Makeup lakini baada ya kupaka huonekana kuwa na mwonekano tofauti kabisa mpaka wengine huambiwa misemo ya bora ulivyokuwa mala ya kwanza!!!! je kapendeza huyu? Acha comment aone kwamb umeionaje picha...