Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

AMBONI WATU 8 WAUAWA KUKATWAKATWA MAPANGA...

Watu wa Kijiji cha Mikocheni kalibu na Mapango ya Amboni Mkoani Tanga wameuawa kwa kukatwakatwa mapanga kwa kisa kinachodaiwa kufichua vitendo vya uhalifu vya baadhi ya watu Kijijini hapo.Imesemekana watu waliouawa wanadaiwa kufichua vitendo vya uhalifu...

Read more

POLISI YAWASHIKILIA WATU 15 (PANYA ROAD) KWA TUHUMA ZA KUVAMIA MAKAZI YA WATU...

Polisi kanda Maalumu ya Dar es salaam inawashikilia watu 15 maarufu kama Panya Road kwa madai ya kuvamia makazi ya watu wa eneo la Vingunguti Mtakuja na kuwashambulia na kuwajeruhi baadhi ya wakazi wa eneo hilo na kuwalazimisha kuwapatia pesa.

Read more

MKE WA RAIS MAMA JANETH MAGUFULI AWATAKA WATANZANIA KUWASAIDIA WAZEE WALEMAVU...

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkalibisha mke wa Waziri mkuu Mama Mama Marry Majaliwa ofisini kwake Magogoni jijini Dar es salaam, mama Majaliwa alifika hofisini hapo ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na Mke wa Rais.

Read more

SHILOLE AFUNGUKA SIRI 4 NZITO ZA YEYE KUPENDA DOGODOGO...

Msanii Nyota wa Muziki wa kizazi kipya Zuwena Mohamed alimaalufu kama Shilole amefunguka adharani na kutoa sababu kufuatia yeye kupenda kutoka na wanaume wanaotajwa kuwa na umri mdogo[...]

Read more

WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA UDSM WAGOMA...

Ni May 31, 2016 ambapo wanafunzi wa Chuo kikuu Cha Dar es salaam wameingia kwenye headlines baada ya kufanya mgomo wa kudai fedha za kujikimu katika mahitaji yao ya kila siku.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOTWANDIKIA LEO JUNE 1, 2016

Naendelea kukusogezea habari kuu zilizojili katika Magazeti ya Tanzania leo zikiwemo habari za kusikitisha za Mauwaji yanayoendelea huko Tanga.

Read more

LISU, ZITTO, MDEE NA BULAYA WATIMULIWA BUNGENI...

Wabunge wa Upinzani, Tundu Lissu na Esther Bulaya wamesimamishwa kutokuudhuria vikao vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na kung'ang'ania kurushwa kwa matangazo ya moja kwa moja ya Bunge.

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974