Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

HUU NDIO UREMBO WA MCHEPUKO WA DIAMOND...

Japokuwa Diamond amezaa na Zari na kupata Mtoto Tiffah, ila kwa sasa inasemekana Diamond anatoka na Irene, na kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa watu wake wa karibu zinaonyesha Diamond yupo na huyo msichana toka mwaka jana.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOANDIKA LEO JUNI 2, 2016...

Naendelea kwa kukusogezea habari kuu zilizojitokeza katika Magazeti ya Tanzania, usichoke mtu wangu endelea kuwa nami mwandishi wako Elipidius Geofrey.

Read more

Mlundwa afungiwa miaka 5

SERIKALI imemfungia kwa miaka mitano Rais wa Shirikisho la Ngumi (PST), Emmanuel Mlundwa na taasisi yake kujihusisha na masuala ya kuratibu ngumi za kulipwa ndani na nje ya Tanzania kuanzia jana Mei 31 hadi Mei 31 mwaka 2020. Imefikia hatua hiyo ya baada...

Read more

Wapinzani wamkimbia Naibu Spika bungeni.

KAMBI Rasmi ya Upinzani Bungeni imeweka msimamo wa kutohudhuria kikao chochote cha Bunge la Jamhuri ya Muungano kitakachoongozwa na Naibu Spika, Dk Tulia Ackson, kwa maelezo kuwa amekuwa akivunja demokrasia kwa kuwafanyia ubabe na kuwapendelea wabunge...

Read more

WALIOPANGA MAANDAMANO UDSM WAKIONA CHA MOTO...

Wanafunzi walioandaa mgomo wa jana Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) huenda wakakumbwa na hatua za Kinidhamu kwa kosa la kukiuka sheria ndogo ya Chuo kwa kuandaa mkusanyiko pasipo kibali cha uongozi.

Read more

ROSE NDAUKA AFUNGUKA HAYA MAZITO KUHUSU KUVAA NGUO FUPI...

Msanii wa Filamu Bongo, Rose Ndauka amesema haoni kama kuna mtu kuvaa nguo fupi kama mguu wake unalipa!!, alikuwa akiijibu kauli iliyotolewa na Bibi Hindu hivi kalibuni kuhusu wasanii wa filamu kuigiza wakiwa wamevaa nguo za nusu uchi.

Read more

MABONDIA WA KULIPWA RUKSA KUSHIRIKI KWENYE OLIMPIKI MWAKA HUU...

Mabondia wa kulipwa wameruhusiwa kushiriki kwenye mashindano ya Olimpiki mwaka huu jijini Rio de Janeiro, Brazil baada ya chama cha Ndondi cha kimataifa, AIBA kukubali kubadilika kwa katiba. Jumatano hii

Read more

NAIBU WAZIRI MASAUNI AKIWA TANGA KATIKA MAPANGO YA AMBONI...

Naibu Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akichungulia pango lililopo katika Msitu wa Mapangopori ya Amboni linalodaiwa kuwa ni njia kuu ya watu wanaohofiwa kuwa majambazi waliofanya mauaji katika Kitongoji cha Kibatini, Kata ya Mzizima...

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974