Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

HUU NDIO MUONEKANO MPYA WA MSANII RIYAMA ALLY BAADA YA KUNYOA NYWERE...

Je kapendeza au ndo kwaanza kaalibu?? tupia coment hapo ili akipita ajue umeona na umetoa maoni yako juuya mwonekano wake wa sasa.

Read more

FAINI KWA WATAKAOGONGA MABASI YAENDAYO HARAKA HII HAPA...

Moja ya habari zilizotikisa headlines leo ni pamojana hii ya adhabu au faini kwa watakaogonga Magari ya MWendo kasi. Gazeti la MWANANCHI la Juni 3, 2016 lilikuwa na habari inayosema "Watakaogonga mabasi ya Udart fain 300,000" Gazeti la Mwananchi lilipoti...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOANDIKA LEO JUNI 4, 2016

Naendelea kukusogezea habari kuu zilizojitokeza katika Magazeti ya Tanzania leo, najua unacho kihitaji ndugu msomaji ndomaana najitahidi kuakikisha nakusogezea habari kila siku.

Read more

VIDEO: HII NDIYO VIDEO MPYA YA RICH MAVOKO "IBAKI STORY"

Rich Mavoko akiwa akiwa katika Lebo ya Wasafi WCB ilnayomilikiwa na Diamond Platnumz amekuja na ngoma yakee hii mpya, icheki na tupia Comment yako ili akipita aone maoni yako.

Read more

UKIMWI WA PAKA WAGUNDULIWA NCHINI KENYA...

Kwenye Nchi ya Kenya imegundulika kuwepo kwa virusi aina ya FIV (Feline Immunodefficiency virus) vinavyofanana kabisa na virus vya UKIMWI. Vimegundulika katika Paka mmoja ikiwa ni baada ya Paka huyo kupimwa na kudhibitisha uwepo wa viini hivyo vinavyofanana...

Read more

MAMA MAGUFULI AMSHUKURU TB JOSHUA KWA KUUNGA MKONO JITIHADA ZAKE ZA KUWASAIDIA WAZEE...

Mke wa Rais wa Jamhuli ya Muungano wa Tanzania, Mama Janeth Magufuli akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Serikali, chama na wazee wakati akiwasili katika kituo cha kulea wazee cha Nkaseka kwaajili ya kutoa misaada ya chakula, mavazi, na vifaa vya M...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOANDKA LEO JUNI 3, 2016

Nikiendelea kukujuza kila linalojili katika ulimwengu kupitia Magazeti, na leo naendelea kukusogezea post za Magazeti ya Tanzania leo...

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974